KOCHA MKUU WA SIMBA ATOA NENO LAKE KWA MSHAMBULIAJI NAMBA MOJA BONGO
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba, amesema amekuwa akishangazwa na uwezo wa mshambuliaji wake, Meddie Kagere ndani ya uwanja kutokana na kufanya kazi bila...
MPANGO MKUBWA WA KUMALIZA LIGI KUU ENGLAND NI KESHO
KUTOKANA na kusimamishwa kwa ligi mbalimbali duniani kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona, viongozi wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu England wanatarajiwa kufanya kikao kesho...
NYOTA HAWA WAZAWA WATANO MUDA WOWTE MAMBO FRESH YANGA, RIPOTI INAELEZA
RIPOTI ya Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael iliyotoa mezani inaelezwa kuwa anahitaji nyota wawili wazawa ambao watajiunga na Yanga msimu ujao ili kuongeza...
SIMBA YATAJA SABABU ZA KUILINDA SAINI YA CHAMA, ISHU IPO TFF KWA SASA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa miongoni mwa sababu kubwa zinazowafanya wailinde saini ya nyota wao Clatous Chama ni pamoja na kuthamini mchango wake alioufanya...
UKIACHANA NA CHAMA, HUYU HAPA MWINGINE KUCHOMOLEWA SIMBA
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga hesabu zao ni kuibomoa Simba na kuchokomoka na nyota mmoja ambaye amekuwa kwenye ubora wake licha ya kutokuwa na...
SIMON MSUVA ATAMANI KURUDI BONGO ILA AMEKWAMIA HAPA
SIMON Msuva nyota wa Timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga El Jadid ya nchini Morocco amesema kuwa kwa sasa anatamani kurudi nyumbani Tanzania ila...
MBELGIJI WA YANGA KULA SAHANI MOJA NA NYOTA WANNE, UONGOZI WA YANGA WATAJA MBINU...
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa amekuwa akiwafuatilia kwa ukaribu nyota wake wote huku presha yake ikiwa kwa nyota wanne ambao ni...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI LIPO MTAANI JIPATIE NAKALA YAKO...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi lipo mtaani jipatie nakala yako kwa Jerome, nafasi ya kushinda ndinga ni yako
AZAM FC YAJITOSA KUWANIA KIFAA CHA CONGO KINACHOTAKIWA SIMBA NA YANGA
UKISIKIA kununua ugomvi ndiko huku sasa. Matajiri wa soka nchini, Azam FC wamejitosa katika vita vya vigogo Simba na Yanga kuwania saini ya straika...
SIMBA YA SENZO IKO ‘NEXT LEVEL’ AISEE …WACHEZAJI KUFANYA MAZOEZI KWA VIDEO CALL
NI mwendo wa teknolojia tu sasa hivi, hili ndio linalofanyika kwenye taasisi mbalimbali kwa nchini kutokana na kuwepo ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi...