AZAM FC YAPATA MATUMAINI MAPYA KUFIKIA MALENGO YAO YA KUTWAA UBINGWA

0
USHINDI wa bao 1-0 walilopata Azam FC mbele ya JKT Tanzana limewapa matumaini Azam FC kuendelea kasi yake kufukuzia ubingwa wa Ligi Kuu Bara.Azam...

AJIBU AMTIA HOFU MLINDA MLANGO HUYU LIGI KUU BARA

0
MLINDA mlango wa Mtibwa Sugar, Benedict Tinnoco amesema kuwa miongoni mwa washambuliaji ambao huwa anawahofia wakiwa na mpira ni Ibrahim Ajib.Tinnoco amesema kuwa amekuwa...

YANGA YAFICHUA SIRI YA USHINDI KWA ALLIANCE

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa siri kubwa ya ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Alliance ni wachezaji wake kufuata maelekezo aliyowaambia...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI

0
MUONEKANO wa UKURASA wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili

YANGA: TUNAIFUNGA SIMBA MACHI 8 MAPEMA TU

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umejipanga kuona unapata matokeo chanya kwenye mechi zake zote za Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na mchezo wa...

ALLIANCE WATAJA KILICHOWAPONZA WAKACHAPWA MABAO 2-0 MBELE YA YANGA

0
GEOFREY Luseke, beki wa timu ya Alliance amesema kuwa hawakustahili kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa wapinzani wao Yanga.Jana, Februari 29, Alliance ya...

RUVU SHOOTING WAMPAPASA BOSI WAO WA ZAMANI, CHUMA APELEKWA HOSPITALI

0
RUVU Shooting jana, Februari 29, 2020 iliipapasa mabao 2-0 Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mabatini, Pwani.Kwenye mchezo huo...

LEO SAMATTA KUKIWASHA TENA, USO KWA USO NA MSHIKAJI WAKE GUARDIOLA

0
LEO Mbwana Samatta, mshambuliaji anayekipiga timu ya Aston Villa atakuwa na kazi ya kukipiga mbele ya Manchester City kwenye mchezo wa Kombe la Carabao.Mchezo...

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA HUU HAPA

0
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara huu hapa

SIMCHIMBA AIOKOA AZAM FC USIKU MIKONONI MWA JKT TANZANIA

0
ANDREW Simchimba, mshambuliaji wa Azam FC jana ameiokoa timu yake usiku kuweza kusepa na pointi tatu mbele ya JKT Tanzania kwenye mchezo wa Ligi...