BRUNO TARIMO AJIPA UBALOZI NCHINI SERBIA
BRUNO Tarimo ‘Vifuaviwili’ bondia wa ngumi za kulipwa ambaye ni bingwa wa International Super Feather Weight alioupata nchini Serbia kwa pointi mbele ya bondia...
YANGA KUJA KIVINGINE WAKATI WA USAJILI, MFUMO MPYA KUTUMIKA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa utatumia mfumo mpya wa kufanya usajili wa wachezaji wao ili kupata wachezaji watakaoleta ushindani ndani ya kikosi chao msimu...
NYOTA KANE ANAWINDWA NA MANCHESTER UNITED
MSHAMBULIAJI wa Spurs, Harry Kane amesema kuwa anahitaji kupata changamoto mpya kwa sasa nje ya timu yake hiyo anayoitumikia.Spurs imekuwa kwenye mvutano mkubwa na...
KIUNGO POLISI TANZANIA ATUMA UJUMBE KWA WATANZANIA WOTE KUOMBEANA DUA
BARAKA Majogoro, kiungo wa Polisi Tanzania amesema kuwa ni muhimu kwa kila mmoja kwa sasa kuomba dua wakati huu wa kipindi cha maambukizi ya...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
HIVI NDIVYO SVEN ANAVYOWAZA KUHUSU UBINGWA SIMBA
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa sasa hesabu zake ni kuona timu inamaliza mechi zake ndipo itwae ubingwa kuliko kusubiri ubingwa...
YANGA YA GSM YADHAMIRIA KUIBOMOA UD SONG..NUGAZ AMEFUNGUKA A-Z..!!
KATIKA kuhakikisha inatekeleza mapendekezo ya kukiimarisha kikosi chao kama ilivyopendekezwa na Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael, uongozi wa Yanga umeanza mchakato wa kunasa...
YANGA NA TSHISHIMBI..MAMBO NI BAMBAM..!!
HATIMAYE uongozi wa Yanga umefanikiwa kukamilisha mchakato wa kumwongezea mkataba mpya kiungo wake wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Papy Tshishimbi,...
MIRAJI ATHUMAN- NIMEREJEA UPYAAA
MSHAMBULIAJI wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba, Miraji Athuman, amesema mazoezi ya wiki mbili yatamfanya arejee katika ubora wake ule ule...
KASSIM DEWJI AWEKA HADHARANI WALICHOIFANYA ZAMALEK CAF 2003
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Simba, Kassim Dewji 'KD", ameweka wazi timu hiyo ilifanya vema katika mashindano ya kimataifa ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye...