WACHEZAJI YANGA WARUDISHA ZIGO LA SARE KWA UONGOZI WAO

0
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa matokeo yao ya sare wanayopata uongozi utafanyia kazi makosa yao.Februari 23 Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Yanga itamenyana...

JEMBE LA KAZI SASA LAANZA MAZOEZI NDANI YA SIMBA

0
MZAMIRU Yassin, kiungo wa Simba ameanza mazoezi ili kurejea uwanjani kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye mechi dhidi ya Yanga.Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Taifa,...

BIASHARA UNITED WAIPIGIA HESABU HIZI SAFU YA USHAMBULIAJI YA SIMBA KESHO TAIFA

0
OMARY Madenge, Kocha Msaidizi wa Biashara United amesema kuwa mpango mkubwa kwa timu yake ni kupambana mbele ya Simba na kupata pointi tatu bila...

COASTAL UNION YATUMA UJUMBE HUU KWA YANGA

0
BAKARI Mwamnyeto, nahodha wa Coastal Union amesema kuwa watapambana mbele ya Yanga kupata matokeo chanya kwenye mchezo wa kesho utakaopigwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.Coastal...

ISHU YA WACHEZAJI YANGA KUTOLIPWA MKWANJA WAO YAFIKIA HAPA

0
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unawalipa wachezaji wao mshahara wao kwa wakati pamoja na wafanyakazi wengine hakuna ambaye anwadai.Taarifa ambayo imetolewa na Yanga imeeleza...

HESABU KUBWA ZA SIMBA MSIMU HUU HIZI HAPA

0
JONAS Mkude, kiungo ndani ya Simba amesema kuwa akili zao kwa sasa ni kuona namna gani wanaweza kutetea taji lao la ubingwa walilotwaa msimu...

MWADUI WANA BALAA KINOMA KWA SARE HAWAJAMBO, CHEKI WALICHOFANYA

0
TIMU ya Mwadui FC ya Shinyanga kwa kulazimisha sare nayo ni balaa ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20.Msimu huu namba moja kwa...

AZAM SASA HASIRA ZA SARE MBELE YA NDANDA KUHAMIA KWA NAMUNGO

0
KIKOSI cha Azam FC kimeanza maandalizi ya kuiwinda Namungo FC kwa ajili ya mchezo wao utakaopigwa kesho, Februari 22, saa 10:00 Uwanja wa Majaliwa.Azam...

KOCHA STARS ATAJA KINACHOHITAJIKA NDANI YA TIMU ILI KUPETA CHAN

0
ETIENNE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kikubwa kinachohitajika kwenye mashindano ni maandalizi mazuri.Stars inashiriki michuano ya...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa