HATMA YA KICHUYA,NDEMLA, AJIBU NDANI YA SIMBA IPO HIVI
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hatma ya wachezaji wote ndani ya kikosi hicho ni pale ambapo Ligi Kuu Bara itakamilika ndipo watataja wale watakaochwa...
WACHEZAJI WA LIGI KUU ENGLAND WAUNDA UMOJA WAO KUPAMBANA NA CORONA
WACHEZAJI wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu England wameunda umoja wao ambao una malengo ya kukusanya fedha kwa ajili ya kuongeza nguvu ya kupambana na...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA ALHAMISI, NAFASI YA KUSHINDA NDINGA NI...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Alhamisi
WACHEZAJI SIMBA MTEGONI, ATAKAYEKIUKA ADHABU JUU YAKE INAMUHUSU
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wachezaji wa Simba kabla ya kuvunja kambi walifanyiwa vipimo vya uzito hivyo atakayeongezeka kilo ghafla hatua...
NYOTA WATATU WA FIORENTINA SASA WAPO GADO BAADA YA KUPEWA MATIBABU YA CORONA
KLABU ya Fiorentina imetangaza kuwa mastaa wake watatu ambao walikutwa na Virusi vya Corona kwa sasa wamepona na wanaendelea vizuri. Mastaa hao ni pamoja na...
MABOSI COASTAL UNION WAMRUHUSU NONDO KUTIMKIA SIMBA
UONGOZI wa Coastal Union umesema kuwa wapo tayari kumuuza beki wao chipukizi Bakari Nondo ambaye pia ni nahodha wa kikosi hicho chenye maskani yake...
PSG YAITAKA HUDUMA YA ICARD MAZIMA
KLABU ya PSG ipo kwenye mpango wa kumalizana na nyota wao Mauro Icard anayekipiga kwa mkopo akitokea Klabu ya Inter Milan.Raia huyo wa Argentina...
SIMBA YAWAPIGA ‘STOP’ WACHEZAJI KUZUNGUMZA ISHU YA SIMBA
OFISA Habari wa Klabu ya Simba Haji Manara, amesema kuwa wachezaji wa Simba kwa sasa wakihojiwa na vyombo vya habari wanapaswa wazungumzie maisha yao...