KISA CORONA, BEKI SIMBA AJIFUNGIA NDANI AKICHEZA GEMU

0
 PASCAL Wawa, beki wa Simba amesema kuwa kwa sasa yupo salama na anaendelea kufanya mazoezi binafsi ili kulinda kipaji chake huku akitumia muda mwingi kucheza...

DROO YA KWANZA JISHINDIE GARI YAFANYIKA LEO, WATATU WASEPA NA ZAWADI ZAO JUMLAJUMLA

0
DROO ya Kwanza ya Shindano la Jishindie Gari inayoendeshwa na Kampuni ya Global Group kupitia magazeti yake ya michezo ya Championi na Spoti Xtra...

TANZIA; ASHA MUHAJI, ALIYEKUWA OFISA HABARI WA SIMBA AFARIKI DUNIA

0
ASHA Muhaji, mwandishi mwandamizi wa michezo nchini amefariki dunia leo alipokuwa akipatiwa huduma ya afya.Asha aliwahi Ofisa Habari wa Klabu ya Simba amekutwa na...

KOCHA SIMBA ATAJA SABABU YA MAKOCHA KUWA NA PRESHA

0
KOCHA Msaidizi wa Simba FC, Selemani Matola amesema kuwa makocha wengi wanaozinoa klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara, wanaishi kwa presha kwa kuwa hawana...

NIYONZIMA ACHEKELEA MAISHA YAKE NDANI YA YANGA

0
HARUNA Niyonzima, kiungo mshambuliaji ndani ya Yanga amesema kuwa kwa sasa anafurahia maisha ndani ya klabu hiyo kutokana na sapoti anayopata kutoka kwa wachezaji...

SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU ISHU YA TSHISHIMBI

0
BAADA ya nahodha wa Yanga, Papy Tshishimbi kusema kuwa hajaongeza kandarasi ndani ya klabu yake hiyo uongozi wa Simba umesema kuwa unatamani siku moja...

TSHISHIMBI AICHOKONOA YANGA KUHUSU MKTABA WAKE

0
PAPY Tshishimbi, nahodha wa Yanga amesema kuwa kwa sasa hajaongeza mkataba ndani ya klabu yake hiyo hivyo yupo huru kuzungumza na timu yoyote itakayokuwa...

BARCELONA SASA KUMUUZA NYOTA WAO GRIEZMANN ILI KUPATA MKWANJA

0
BARCELONA ipo tayari kumuingiza sokoni mshambuliaji Antoine Griezmann lengo likiwa ni kupata kipato kwa ajili ya usajili ujao.Virusi vya Corona vinavyosababisha Ugonjwa wa Covid...