GAMONDI AVUNJA UKIMYA HUU…NI KUHUSU ISHU YA PACOME…”ZOUZOUA AFUNGUKA HAYA
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amemtazama nyota wake Pacome Zouzoua kwa dakika 20 alizompa katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA)...
KIBU DENIS AGOMA KUSAINI MKATABA MPYA SIMBA…DUH!! KUMBE ANA OFA HII MPYA BONGO
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba KIBU DENIS PROSPER amekuwa akikacha kuongeza mkataba wake na Simba SC ambao unaisha mwisho wa msimu huu.
Viongozi wa...
JUMA MGUNDA…AKABIRIWA NA MTIHANI HUU MZITO SIMBA…ISHU NZIMA IKO HIVI A-Z
Wekundu wa Msimbazi Simba SC kesho watakuwa na kibarua kingine cha kujiuliza baada ya kupata sare katika mchezo uliopita.
Simba ambao kwa sasa inaongozwa na...
AHMED ALLY AWACHONGEA YANGA TFF…USHINDI WAO UCHUNGUZWE…ATEMA CHECHE HIZI
Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuchunguza namna ambavyo wapinzani wao,...
PACOME AREJEA YANGA…GAMONDI AMCHEZESHA DK 10 TU…AKOSA MECHI SABA
Hatimaye kiungo wa Yanga Pacome Zouzoua Leo anarudi uwanjani kwa mara ya kwanza tangu kuumia na kuzusha taharuki kubwa.
Kwenye kikosi cha Yanga kitakachocheza mchezo...
KUMBE BEKI HUYU WA YANGA KUSAJILIWA SIMBA…AWAPA MASHARTI HAYA
Wakati tetesi za usajili zikimhusisha beki wa Yanga, Joyce Lomalisa kujiunga na Simba mwenyewe kaibuka na kuweka wazi kuwa yupo tayari kucheza timu yoyote...
GAMONDI ASHANGAZWA NA MAISHA YA MASTAA YANGA…AMEFUNGUKA HAYA
Kocha wa Yanga Miguel Gamondi, amevunja ukimya kwa kusema namna anavyoshangazwa na maisha ya mastaa wa timu hiyo kambini kwa muda wa mwaka mmoja...
YANGA HII SASA KIBOKO…ALIYEMVUTA JEZI AZIZ KI KUFUTIWA KADI NYEKUNDU
Beki wa Coastal Union, Lameck Lawi amefutiwa adhabu ya kadi nyekundu aliyoonyeshwa na mwamuzi kwenye mchezo dhidi ya Yanga baada ya kuthibitika kuwa mwamuzi...
KISA KARIAKOO DABI YANGA YAPIGWA FAINI…KULIPA MAMILIONI HAYA…WAFANYA KOSA HILI
Timu ya Simba Sports Club imetozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) na Yanga Sports Club nao ikitozwa faini ya Sh. 5,000,000
(milioni tano) kwa...
BODI YA LIGI YAMFUNGIA CHAMA…APIGWA FAINI HII…ISHU NZIMA IPO HIVI A-Z
Kiungo wa Simba Sports Club, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu (3) ya ligi na kutozwa faini ya Shilingi Milioni 1 (Tsh.1,000,000) kwa kosa la...