AZAM FC V SIMBA NI VITA YA KISASI LEO
KIKOSI cha Simba, jana kimefanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kumalizana na Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa leo Uwanja...
HATA IWEJE TUNAWAPIGA NA HAMTAAMINI, NI NDANI YA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano
SAFU YA USHAMBULIAJI YA SIMBA YAISHTUA YANGA, MBINU YA KUIPOTEZA HII HAPA
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amelichanganya benchi la ufundi la Simba kutokana na kasi yake ya kutupia mabao ambayo amekuwa nayo ndani ya ligi...
BOCCO AACHA BALAA KWA LIPULI YA DIDA NAMNA HII
JOHN Bocco, nahodha wa Simba ameacha balaa kwa Lipuli baada ya kuwafunga bao kwenye ushindi walioupata Simba mbele ya Lipuli kwenye mchezo wa Ligi...
OFISA HABARI WA SIMBA ATINGA MAKAO MAKUU YA YANGA, HIKI HAPA AMESEMA
ANAANDIKA Haji Manara,kupitia ukurasa wake wa Instagram Ofisa Habari wa Simba:-Heri neno kavu na utulivu kuliko karamu ya Mfalme na machafuko ‘Bible’."Nilikwenda mwenyewe mchana...
KIONGOZI MPYA WA AZAM FC HUYU HAPA, ARITHI MIKOBA YA MAGANGA
UONGOZI wa Azam FC unayofuraha kumtangaza mwandishi mkongwe, Thabith Zakaria 'Zaka Za Kazi', kuwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano.Zakaria anachukua nafasi iliyoachwa...
VPL: YANGA 0-0 MBAO FC
Yanga 0-0 Mbao FCUwanja wa TaifaKipindi cha KwanzaYanga leo imeikaribisha Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Taifa.Mashabiki wamejitokeza kwa wingi...
KIKOSI CHA MBAO KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA YANGA UWANJA WA TAIFA
KIKOSI cha Mbao kitakachoanza leo Uwanja wa Taifa dhidi ya Yanga mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MBAO FC
HIKI hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Mbao FC Uwanja wa Taifa