STARS: TUNAKWENDA KUFANYA KWELI AFCON

0
NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta amesema kuwa wanatambua kazi kubwa waliyopewa na Taifa hivyo watakwenda...

MKENYA ATANGAZA KUTUA YANGA

0
Kutokana na usajili wa kutisha ambao unafanywa na Yanga hadi sasa kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao, mshambuliaji Mkenya Duke Abuya ameweka wazi...

MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO ALHAMIS

0
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO ALHAMIS

VIDEO: STRAIKA MPYA ATUA USIKU YANGA, ASAINI NA KUSEPA

0
Yanga imeshusha rasmi straika Mnamibia Sadney Urikhob anayekipiga klabu ya Tura Magic na timu ya Taifa ya Benin.Huyo anakuwa mchezaji wa saba kusaini Yanga...

BOSS SIMBA AZIDI KUKIMBIZA KATIKA ORODHA YA WATU TAJIRI AFRIKA, APANDA JUU

0
Jarida linalotoa orodha ya watu ambao wanakusanya kiasi kikubwa cha pesa Afrika na duniani kwa ujumla 'FORBES' limekuja tena na orodha ya matajiri.Katika orodha...

SIMBA IJAYO NI BAB-KUBWA ZAIDI, MBADALA WA OKWI AFUATWA NA WAKALA WA KAGERE

0
Klabu ya Simba iko hatua za mwisho za kumsainisha mkataba mshambuliaji wa klabu ya Police FC ya Uganda, Juma Balinya mwenye umri wa miaka...

TIBOROHA ATANGAZA WASIWASI YANGA

0
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tiboroha, amesema ana wasiwasi na klabu hiyo kama itafabya vizuri katika Ligi ya Mabingwa Afrika.Tiboroha ametoa kauli...

MKWASA ATOA ONYO YANGA JUU YA USAJILI WA WACHEZAJI KUPITIA YOUTUBE

0
Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, amefunguka kwa kutoa rai kwa viongozi wa klabu hiyo juu ya usajili wanaoufanya hivi sasa.Mkwasa...

WAKILI WA WAMBURA ACHACHAMAA BALAA

0
WAKILI wa Michael Wambura, Fatius Kamugisha ameiomba mahakama kuharakisha uchunguzi wa kesi ya mteja kwa kuwa amekuwa ndani kwa muda na kukosa haki zake...

YANGA YAMFICHA HOTELINI STRAIKA SIMBA

0
UNAMKUMBUKa yule straika ambaye Simba ilitangaza kumsajili kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2018/19?Straika...