NIYONZIMA APEWA MZIGO YANGA

0
Akianza kibarua cha kukinoa kikosi cha Yanga, kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Luc Eymael amempa jukumu zito kiungo mchezeshaji fundi Mnyarwanda Haruna Niyonzima...

LUC EYMAEL AANIKA MAPEMA KITAKACHOMUONDOA YANGA

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael raia wa Ubelgiji ametangaza kwamba ataikimbia Ligi Kuu ya Tanzania Bara mapema kama wapinzani wao anaokutana nao wataendelea...

AUSSEMS AIBUKA TENA, ATOA TAMKO JUU YA SIMBA

0
KOCHA wa zamani wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa amesikia kelele za mashabiki wa timu hiyo wakishinikiza uongozi umrudishe kufundisha timu hiyo lakini kwa...

KIMENUKA!! GSM YAWABANA VIONGOZI YANGA

0
Imeelezwa kuwa wadhamini wa Yanga, Kampuni ya GSM imewabana viongozi wa klabu hiyo katika suala zima la utoaji fedha kuhakikisha fedha zote wanakabidhi wenyewe...

HIKI NDICHO KIWANGO CHA MISHAHARA KWA WACHEZAJI SIMBA, NI BALAA ZITO

1
Imefahamika kuwa, kiwango cha mishahara ya wachezaji na viongozi wa benchi la ufundi la Simba ni Sh Mil 350 ambapo kwa mwaka inakadiriwa kufi...

MBELGIJI WA YANGA:KAGERA SUGAR BAHATI YAO WALITUOTEA, LEO USHINDI HALALI YETU

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa Kagera Sugar wamewaotea kuwachapa mabao 3-0 hivyo leo watawasha moto mbele ya Azam FC Uwanja wa...

MKUU WA MKOA WA DAR, MAKONDA APEWA CHEO NDANI YA SIMBA

0
VerifiedMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam ambaye pia ni shabiki wa Simba, Paul Makonda ameteuliwa kuwa Mshauri Mkuu wa Bodi ya Wakurugenzi.Taarifa hiyo...

MTIBWA SUGAR: HAIKUWA BAHATI YETU LEO, YAFUNGWA MABAO 2-0 NA KMC

0
SADALA Kipangwile, leo amekuwa nyota wa mchezo kwa KMC kwa kupeleka kilio mbele ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja...

SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA ALLIANCE FC

0
BEKI kisiki wa Simba, Pascal Wawa amesema kuwa hawatailazia damu mechi yao dhidi ya Alliance, inayotarajiwa kuchezwa Januari, 20, Uwanja wa CCM Kirumba.Simba jana...

MILIONI 250 ZAPEPERUKA KIMAAJABU NDANI YA DAKIKA 180 YANGA

0
IMEELEZWA kuwa Yanga imezipeperusha milioni 250 ndani ya dakika 180 ambazo ni sawa na mechi mbili walizocheza wachezaji wao kwenye mechi za Ligi Kuu...