MAKOFI YA MASHABIKI YANGA KWA WACHEZAJI WAO BAADA YA KIPIGO NI TIBA MPYA YA...

0
Na Saleh AllyBAADA Yanga kuchapwa mabao 3-0 katika siku ya kwanza ya kocha Luc Eymael akiwa ndio amekaa benchi, kama ilivyo ada jazba kutoka...

BEKI WA MANCHESTER UNITED ASHINIKIZA KUSEPA MAZIMA

0
BEKI wa Manchester United, Ashley Young imeripotiwa kuwa amegomea mazoezi ya timu yake akishinikiza kutimkia ndani ya kikosi cha Inter Milan.Young amekubali kujiunga na...

BOSI WA LIVERPOOL ALITUMIA DAKIKA 15 KUWARUDISHIA FURAHA NYOTA WAKE MANE NA SALAH

0
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa alimaliza mapema mgogoro wa nafsi kati ya Mohamed Salah na Sadio Mane uliotokea ndani ya timu...

RASHFORD HATIHATI KUIKOSA LIVERPOOL, NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA

0
CHAMPIONI Ijumaa, Muonekano wa Ukurasa wa nyuma, Januari 17,2020

MNYAMA AREJESHA HESHIMA, ISHU YA MOLINGA HUKO YANGA PIA YANOGA, CHAMPIONI IJUMAA

0
JANUARI,17 Muonekano wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa

WALIOPIGWA MBILI NA SIMBA WASAJILI WAPYA SITA

0
UONGOZI wa Mbao FC umefanikiwa kusajili wachezaji sita katika kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo lililofungwa juzi usiku.Akizungumza jana, Mwenyekiti wa timu hiyo,...

BOCCO ASHINDWA KUJIZUIA, AAMUA KULIIBUA TENA SUALA LA MAPINDUZI

0
Nahodha na mshambuliaji wa Simba, John Raphael Bocco amesema kuwa haikuwa bahati yao kulichukua Kombe la Mapinduzi huku akiwataka mashabiki wa timu hiyo kuendelea...

BAADA YA KUKATALIWA YANGA KISA UBORA, KINACHOENDELEA KATI YA KOTEI NA KAIZER HIKI HAPA

0
Kiungo mkabaji wa zamani wa Simba, James Kotei, amethibitisha kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na klabu yake ya Kaizer Chiefs inayoshiriki Ligi Kuu ya...
Mashabiki Yanga

YANGA WATOKWA NA MACHOZI, INATIA HURUMA – VIDEO

0
Baada ya kupoteza kwa mabao 3-0 juzi dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam,...

BAADA YA NAFASI KUCHUKUA MZUNGU, MKWASA AFUNGUKA JUU YA HATMA YAKE NA YANGA

0
Aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Boniface Mkwasa, amesema kuwa hajui hatima yake ndani ya klabu hiyo mara baada ya ujio wa kocha mpya...