NINJA, NASSORO MOHAMMED WAPATA DILI LA KUKIPIGA ULAYA, WAKWEA PIPA LEO
ABDALLAH Shaibu 'Ninja' ambaye ni beki na mshambuliaji kinda Nassor Mohamed aliyekuwa anakipiga Mtibwa B wamepata dili la kusepa kuelekea nchini Serbia kukipiga soka...
HIZI HAPA 16 ZITAKUWA VITANI KUSAKA POINTI TATU MUHIMU
LIGI Kuu Tanzania Bara kuendelea leo kuchanja mbunga kwa timu 16 kuwa uwanjani kuzisaka pointi tatu muhimu.Hizi hapa zitakutana leo, mechi zote zitapigwa saa...
UJUMBE HUU WA ALLIANCE WATUMWA YANGA
FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Alliance amesema kuwa wanatambua wana kazi ngumu ya kufanya leo mbele ya Yanga ila wapo tayari hawana hofu.Alliance itakaribishwa...
JKT TANZANIA: TUPO TAYARI KUVAANA NA AZAM FC, SAPOTI YA MASHABIKI
ABDALAH Mohamed,'Bares', Kocha Mkuu wa JKT Tanzania amesema kuwa leo vijana wake watapambana mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa UKURASA wa MBELE Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
YANGA NAO WAMO, REKODI YAO MWEZI FEBRUARI IPO NAMNA HII
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga ndani ya mwezi Februari amekiongoza kikosi chake kucheza mechi saba za Ligi Kuu Bara.Kwenye pointi 21 alizokuwa anasaka...
MWEZI FEBRUARI SIMBA YAACHA REKODI HII MATATA, YAFUNGWA MABAO KIDUCHU, WALIYOFUNGA SASA
MWEZI Februari, mabingwa watetezi Simba wamecheza mechi saba za Ligi Kuu Bara na wameambulaia kichapo mechi moja mbele ya JKT Tanzania.Mchezo huo ulichezwa Uwanja...
UJUMBE HUU WA YANGA WATUMWA KWA ALLIANCE, GWAMBINA YAIPA KIBURI
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umejipanga kusepa na pointi tatu leo mbele ya Alliance kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Taifa.Ofisa...
SIMBA MACHO YOTE KWA KMC, KESHO TAIFA HAPATOSHI
MABINGWA watetezi Simba kesho, Machi Mosi watakuwa Uwanja wa Taifa kumenyana na KMC mchezo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na kumbukumbu ya kushinda kwa...
AZAM FC WATIA TIMU MAKAO MAKUU, KESHO KUVAANA NA JKT TANZANIA
KIKOSI cha Azam FC leo kimetia timu Dodomayalipo makao makuu ya nchi kwa ajili mchezo wao wa kesho dhidi ya JKT Tanzania.Azam FC kwenye...