ODDS ZA KUTOBOA KIMAISHA HIZI HAPA…ANZA KUOTA UTAJIRI NA MERIDIANABET SASA…
Ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kuota ndoto zako za kuwa Milionea kwani kwa dau lako dogo tuu unaweza ukakwapua pesa za kutosha. Ingia...
KUMBE BENCHIKAH AKUMBWA NA MATATIZO HAYA MAZITO…SIMBA WANYOOSHA MIKONO JUU
TAARIFA KWA UMMA
Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja mkataba kati yetu na Kocha Mkuu Abdelhak Benchikha pamoja na...
TIMU HII YASHINDWA KUFIKA UWANJANI BONGO…KUFUTIWA MATOKEO NA KUSHUSHWA MADARAJA MAWILI
Mchezo wa mkondo wa kwanza wa hatua ya mtoano (play off) baina ya Moro Kids ya Morogoro na Kurugenzi FC ya Simiyu umeshindwa kufanyika...
BENCHI LA UFUNDI YANGA LAMBANIA PACOME…ALI KAMWE AMEFUNGUKA HAYA A-Z
Nyota wa Yanga, Pacome Zouzoua ameanza rasmi mazoezi na timu hiyo baada ya kukosekana kutokana na majeraha ya goti aliyoyapata wakati wa mchezo wa...
ZA NDANI KABISA YANGA KUANZA MAZUNGUMZO NA CHAMA…ISHU NZIMA HII HAPA
Kiungo wa Simba Clatous Chama anayemaliza mkataba mwishoni
mwa msimu huu ametajwa kuhusisha na Yanga, zikiwa zimebaki wiki chache kabla msimu haujamalizika.
Mkataba wa Chama na...
BENCHIKAH AACHANA NA SIMBA…TAYARI AMEAGANA NA WACHEZAJI…ISHU NZIMA IPO HIVI
Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha inadaiwa amemalizana na klabu hiyo baada ya kuipa Kombe la Muungano na Bodi ya Wakurugenzi imekubali uamuzi wa...
LOMALISA KIBARUA KIPO HATARINI YANGA…KUMBE SABABU YA KUTEMWA NI HII
Wakati Yanga ikionekana kufanya vizuri na kusalia kileleni hadi sasa, lakin beki wa kushoto wa timu hiyo, Joyce Lomalisa naye kibarua chake kipo hatarini.
Yanga...
NI BAADA YA KUCHUKUA KOMBE…ZIMBWE JR ATAMBA LIVE…..KUMBE AWEKA REKODI HII
Beki wa pembeni wa Simba SC, Mohamed Hussein amesema anajivunia kubeba makombe yote ya nchi hii kwa nyakati tofauti.
Mohamed ameyasema hayo jana mara baada...
USHINDI KWA KILA HATUA UKO NDANI YA EXPANSE STUDIO YA MERIDIANBET CASINO…
Wikiendi ya utajiri ni hii na hakuna siku nyingine yenye bahati kushinda Jumapili hii, Shiriki kwenye shindano la Expanse kupitia Meridianbet Kasino na ujiweke...
BAHATI YAKO YA KUTUSA IMELALA KWENYE ODDS HIZI NDANI YA MERIDIANBET…
Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet wanasema hivi kuwa leo ndiyo siku yako ya kutimiza ndoto zako ukiwa na meridianbet. Machaguo zaidi ya 1000...