AZAM SASA HASIRA ZA SARE MBELE YA NDANDA KUHAMIA KWA NAMUNGO

0
KIKOSI cha Azam FC kimeanza maandalizi ya kuiwinda Namungo FC kwa ajili ya mchezo wao utakaopigwa kesho, Februari 22, saa 10:00 Uwanja wa Majaliwa.Azam...

KOCHA STARS ATAJA KINACHOHITAJIKA NDANI YA TIMU ILI KUPETA CHAN

0
ETIENNE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa kikubwa kinachohitajika kwenye mashindano ni maandalizi mazuri.Stars inashiriki michuano ya...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa

RUVU SHOOTING NI BALAA, WAPANIA KUUPIGA MBELE YA POLISI TANZANIA KAMA BARCELONA

0
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa watawafudisha soka wapinzani wao Polisi Tanzania kwenye mchezo wao wa Lgi Kuu Bara utakaochezwa kesho...

UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA, ISHU YA ZAHERA KURUDI YANGA NDANI

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa

KINACHOWAKOSESHA NGUVU KIPINDI CHA PILI WACHEZAJI WA NAMUNGO HIKI HAPA, DAWA YA AZAM YAANDALIWA

0
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa wachezaji wake wanacheza kwa kasi kipindi cha kwanza na kushindwa kumudu kipindi cha pili kutokana...

YANGA WAJIPA MATUMAINI YA KUREJEA KWENYE UBORA WAO TENA

0
NAHODHA wa Yanga, Papy Tshishimbi amesema kuwa bado wana nafasi ya kurekebisha makosa yao waliyoyafanya ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kupata sare tatu...

MZUNGU WA SIMBA ATAKA MABAO MENGI KWA WASHAMBULIAJI WAKE KUPATA POINTI TATU

0
Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa kuwa safu ya ushambuliaji inayoongozwa na Meddie Kagere na John Bocco kazi yao kubwa ni kufunga...

KOCHA COASTAL UNION AJIBEBESHA MZIGO MZITO

0
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa kichapo cha mabao 2-1 mbele ya Ruvu Shooting kinamhusu yeye kwa kuwa ni kiongozi kwenye...

SIMBA YAINGIA KWENYE MTIHANI MZITO WA BIASHARA BONGO

0
BAADA ya Simba kuibuka na pointi sita jumla mbele ya Kagera Sugar hesabu zao kwa sasa ni mbele ya Biashara United ya Mara.Simba ilishinda...