JEMBE LA MTIBWA SUGAR LIMERUDI, RASMI KUANZA KAZI KESHO
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa nyota wao Salum Kihimbwa amerejea rasmi uwanjani kutokana na kupona majeraha yake.Kihimbwa alikuwa nje ya kikosi hicho cha...
SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU PENALTI MBILI ZA KAGERE
HASSAN Dilunga, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kukosa kwa penalti kwa mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere ni sehemu ya mchezo ana imani atajifunza...
YANGA :HAKUKUWA NA NAMNA GWAMBINA ILIKUWA LAZIMA ICHAPWE TU
HARUNA Niyonzima, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa hakukuwa na namna ilikuwa lazima Gwambina FC ifungwe ili kurejesha furaha kwa mashabiki na nguvu kwa...
KMC YATUMA UJUMBE HUU KWA SIMBA
MACHI Mosi, Uwanja wa Taifa, KMC itakuwa na kibarua cha kumenyana na Simba mchezo wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara.KMC ina...
HIZI HAPA ZILIZOFUZU ROBO FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
BAADA ya hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho kukamilika hizi hapa zimetinga hatua ya Robo Fainali
KOCHA MPYA LIPULI ABEBA MATUMAINI MAPYA
KOCHA Mkuu wa Lipuli Nzeyimana Mailo raia wa Burundi amesema kuwa ana imani ataleta mabadiliko ndani ya timu ya Lipuli baada ya kupewa kandarasi...
ALLIANCE: HATUNA UJANJA WA KUPENYA ROBO FAINALI BALI NI BAHATI TU
FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Alliance FC amesema kuwa ushindi wao walioupata mbele ya JKT Tanzania sio ujanja bali ni bahati kwani penalti hazina...
MZUNGU WA SIMBA HALAZI KIKOSI CHAKE, LEO KAZI INAANZA RASMI
JANA Februari 26 kikosi cha Simba kilitua Dar kikitokea Shinyanga, leo kinatarajiwa kuanza mazoezi kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa...
YANGA YAINYOOSHA GWAMBINA KWA BAO MOJA LA KIDEO, YATINGA HATUA YA ROBO FAINALI
YANGA leo imetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gwambina FC mchezo uliochezwa Uwanja wa...
MAPILATO WA POLISI TANZANIA V YANGA YAWAKUTA, WAFUNGIWA MIEZI MITATU
Waamuzi waliosimamia mchezo namba 223 Polisi Tanzania vs Yanga Abel Willium na Martin Mwalyaje wamefungiwa miezi mitatu (3).Adabu hiyo imetokana na kosa la waamuzi...