PRISONS DAKIKA 990 YAKUSANYA POINTI 11, SIMBA,YANGA, AZAM WANAUJUA MOTO WAO

0
TANZANIA Prisons iliyo chini ya Adolf Rishard ni balaa kwa upande wa kulazimhsa sare ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2019/20.Imefunga jumla...

HII HAPA RATIBA YA MECHI ZA YANGA

0
BAADA ya jana kulaizmisha sare ya kufungana bao 1-1 mbele ya Polisi Tanzania, mambo bado ni moto ndani ya yanga na hii hapa ni...

SAUL APELEKA MSIBA LIVERPOOL, KLOPP AWAKARIBISHA ANFIELD

0
SAUL Niquez nyota wa Atletico Madrid alipachika bao pekee la ushindi mbele ya Liverpool dakika ya nne kwenye hatua ya 16 bora ya mchezo...

HIVI NDIVYO YANGA ILIVYOBANANA NA POLISI TANZANIA USHIRIKA MOSHI JANA

0
YANGA Jana ikiwa ugenini mbele ya Polisi Tanzania ilikubali sare ya kufungana bao 1-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Ushirika...

KAGERE ATAJA KINACHOMBEBA NDANI YA SIMBA

0
MEDDIE Kagere amesema kuwa kikubwa kinachompa nafasi ya kuendelea kufunga ndani ya kikosi chake cha Simba ni ushirikiano ambao anaupata kutoka kwa wachezaji wenzake.Kagere...

HUYU MWAMBA CIRO NI BALAA NDANI YA SERIA A

0
CIRO Immobile anayekipiga ndani ya Serie A, Ligi Kuu ya Italia amefunga jumla ya mabao 26 ndani akiwa ni kinara kwa utupiaji kwenye ligi...

SABABU ILIYOWAPONZA WACHEZAJI WA YANGA KUSHINDWA KULINDA USHINDI KWA POLISI TANZANIA

0
NAHODHA wa Yanga, Papy Tshishimbi amesema kuwa kilichowaponza kushindwa kupata ushindi mbele ya Polisi Tanzania Uwanja wa Ushirika ni ubovu wa Uwanja huo.Tshishimbi aliongoza...

KOCHA YANGA:MOLINGA ATAFUNGA MABAO MENGI

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa anaimani mshambuliaji wake David Molinga atafunga mabao mengi kwenye ligi. Molinga ni kinara ndani ya Yanga...

AZAM FC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA NDANDA

0
AZAM FC leo ina kibarua cha kumenyana na Ndanda FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Nangwanda Sijaona.Azam FC iliyo chini...

MBEYA CITY: HALI NI MBAYA KWETU

0
KOCHA Msaidizi wa Mbeya City,Mohamed Kijuso amesema kuwa timu yake ipo kwenye hali mbaya msimu huu kutokana na matokeo mabovu ambayo wanayapata jambo linalowafanya...