KAGERA SUGAR YAZITAKA POINTI TATU ZA SIMBA
MECKY Mexime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa wapinzani wake Simba wapo vizuri ila wao hawana hofu na hilo.Kagera Sugar leo itakuwa kazini...
LICHA YA UCHOVU WA SAFARI, NAMUNGO WAIPIGA MKWARA KMC
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa uchovu kwa wachezaji unampa mashaka kidogo ila hesabu zao ni kushinda mechi yao leo dhidi...
HII HAPA RATIBA YA WIKI HII NDANI YA LIGI KUU BARA
LIGI Kuu Bara inazidi kuchanja mbunga kwa sasa ikiwa ni mzunguko wa pili, hii hapa ratiba ya mechi ambazo zitakuwa Live ndani ya Azam...
YANGA:POLISI TANZANIA WAGUMU ILA TUNAZITAKA POINTI TATU ZAO
CHARLES Mkwasa, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa mchezo wa leo dhidi ya Polisi Tanzania ni mgumu ila wamejipanga kupata pointi tatu muhimu.Leo, Februari...
HAYA HAPA MAKUNDI YA CHAN 2020,TANZANIA YAPANGWA KUNDI D
MICHUANO ya Chan inatarajiwa kufanyika mwezi Aprili 2020 nchini Cameroon na Tanzania imepangwa Kundi D pamoja na mataifa ya Zambia, Namibia na Guinea kwenye...
UJUMBE HUU WATUMWA KAGERA SUGAR KUTOKA SIMBA
JOHN Bocco, nahodha wa Simba amesema kuwa wataendelea kuzitafuta pointi tatu kwenye mechi zao zote watakazocheza ikiwa ni pamoja na mechi ya kesho dhidi...
ARSENAL YAPATA MSHTUKO KUFUNGIWA KWA CITY KUSHIRIKI UEFA MIAKA MIWILI
MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa alipata mshtuko baada ya kupata habari kwamba Manchester City imefungiwa kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa...
MZUNGU WA AZAM FC ACHEMKA KWA MBONGO HUYU NJE NDANI
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union ambaye ni mzawa ndani ya Bongo amemchemsha Kocha bora wa mwezi Januari, Arstica Cioaba raia wa Romania...
MOLINGA APEWA ZIGO HILI NDANI YA YANGA
DAVID Molinga, ‘Falcao’ amepewa mzigo mzito wa kufunga mabao mengi ndani ya Yanga na kujifunza kukaa kwenye nafasi akiwa ndani ya Uwanja.Molinga ni kinara...
TWIGA STARS KAZINI TENA KESHO, WAMETEMBEZA VICHAPO KWA WAWILI
MASHINDANO ya Kanda ya Kaskazini kwa Timu za Wanawake (UNAF) yanaendelea na kesho timu ya Taifa ya Twiga Stars itashuka uwanjani kumenyana na Morocco.Mchezo...