SIMBA YAHAMISHIA HASIRA ZAKE HUKU NAMNA HII
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kesho utahamishia hasira zake mbele ya Stand United kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho utakaochezwa Uwanja wa CCM Kambarage.Simba...
KLOPP APASUA KICHWA KUMKOSA WIKI TATU NYOTA WAKE HENDERSON
JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa kiungo wake Jordan Henderson atakuwa nje kwa muda wa wiki tatu kutokana na majeraha aliyopata.Nyota huyo...
YANGA YATOA SABABU YA SARE NNE MFULULIZO ILIZOPATA NDANI YA LIGI KUU BARA
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa sababu kubwa ya timu yake kuambulia sare kwenye mechi zake nyingi ni ujanja wa timu pinzani...
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara upo namna hii kwa sasa
COASTAL UNION YASIMULIA ILIVYOIBANA YANGA MKWAKWANI
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa walitambua uimara wa wapinzani wao Yanga jambo lililowafanya wapambane kutafuta matokeo licha ya kuambulia sare...
MSIMAMO WA AZAM FC HUU HAPA NDANI YA LIGI KUU
IDD Cheche, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa timu bado haijakata tamaa itaendelea kupambana ili kufikia malengo yake.Akizungumza na Saleh Jembe, Cheche amesema:"Mchezo...
PAMOJA NA KUMCHAKAZA WILDER KWA TKO, FURRY ALIKUWA AMEONGOZA RAUNDI ZOTE SABA KWA POINTI
Tyson Fury amentwanga Deontay Wilder kwa TKO katika raundi ya saba baada ya kocha wa bondia huyo Mmarekani kulazimika kutupa taulo ulingoni.Pamoja na kumchapa...
LEO BALAA MECHI KAMA ZOTE, UNITED, PSG UWANJANI, BONGO PIA YANGA, ALLLIANCE KAZINI, RATIBA...
LEO kwa mashabiki wa soka watakuwa na muda wa kucheki Ligi mbalimbali Duniani ambazo zinaendelea ambapo kwa upande wa Ligi Kuu Bara mambo yatakuwa...
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA COASTAL UNION, MKWAKWANI TANGA
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhdi ya Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani, Tanga
COASTAL UNION V YANGA WAPIGANA MKWARA HUU
JUMA Abdul, beki wa Yanga na nahodha msaidizi wa kikosi hicho amesema kuwa kesho watapambana mbele ya Coastal Union ili kupata ushindi mbele ya...