NYOTA HAWA WA KIGENI WATANO TU UHAKIKA KIKOSI CHA KWANZA YANGA

0
PAPY Tshishimbi nahodha wa Yanga amepewa jukumu la kuwaongoza wachezaji wenzake wageni pamoja na kikosi cha Yanga kwenye mechi zote za mikoani ambazo timu...

TWIGA STARS YASHIKA NAFASI YA TATU MASHINDANO YA UNAF

0
TIMU ya Taifa ya Wanawake Twiga Stars imekamata nafasi ya pili kwenye michuano ya Mataifa ya Afrika Kaskazini (UNAF) yaliyokamilika jana nchini Tunisia. Mabingwa wa...

KIUNGO LUIS ACHEKELEA KUTUPIA NDANI YA SIMBA, AHADI YAKE HII HAPA

0
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Luis Miquissone amesema kuwa anafurahi kufunga bao lake la kwanza ndani ya Simba na malengo yake ni kuisiaidia timu yake...

JKT TANZANIA YAICHAPA KAGERA SUGAR JAMHURI

0
KIKOSI cha JKT Tanzania kilicho chini ya Mohamed Abdallah, 'Bares' jana kimeibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa...

KIMENUKA!YANGA YASHTUKIA MCHEZO MCHAFU, NI NDANI YA SPOTIXTRA

0
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili

YANGA YAKUTANA NA RUNGU HILI KUTOKA TFF

0
TIMU ya Yanga imetozwa faini ya Tsh 500,000 (laki tano) kwa kosa la timu hiyo kushindwa kuwasilisha fomu yawachezaji wao kwenye Pre match meeting ya...

COASTAL UNION YAIPIGA MKWARA YANGA

0
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa timu ya Coastal Union amesema kuwa wachezaji wake wapo sawa na watapambana leo mbele ya Yanga kusepa na pointi...

MIRAJ ATHUMAN WA SIMBA HIKI NDICHO ANACHOKIFIKIRIA

0
MIRAJ Athuman, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa kikubwa anachokifikiria ni kurejea ndani ya Uwanja kuendelea kupambana kwa ajili ya timu yake.Miraj amekuwa nje kwa...

SPURS YACHAPWA NJE NDANI NA CHELSEA

0
OLIVER Giroud na Marcos Alonso leo wamepeleka furaha ndani ya kikosi cha Chelsea baada ya kuichapa mabao 2-1 timu ya Tottenham iliyo chini ya...

JIANGSU SUNING INAHAHA KUIPATA SAINI YA BALE ILI KUMPELEKA CHINA

0
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Real Madrid wapo kwenye hatua za mwisho kukamilisha dili la nyota wao Gareth Bale ili akajiunge na timu moja ya...