AZAM FC BADO WAMO, LICHA YA KUCHAPWA NJE NDANI NA COASTAL UNION
KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa bado wanapambana kwa ajili ya mechi zinazofuata kwenye ligi ili kuongeza kasi yao baada ya...
YANGA YAIVUTIA KASI POLISI TANZANIA
BAADA ya kulazimisha sare ya bila kufungana na Tanzania Prisons jana, Februari 15 Uwanja wa Taifa Yanga imeiwahi Polisi Tanzania ya Moshi kwa ajili...
SIMBA YAIWAHI KAGERA SUGAR KAMBINI FASTA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo wamerejea kutoka Iringa ambako walikuwa na mchezo wa ligi na Lipuli, Jana Samora.Simba ilishinda mchezo...
SPURS SIO WATU WAZURI, WAIBAMIZA ASTON VILLA YA SAMATTA USIKU KWELI
ASTON Villa imekubali kichapo cha mabao 3-2 mbele ya Tottenham, kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa leo kwa kufungwa bao la usiku katika...
YANGA YAMVAA BOSI MPYA BODI YA LIGI
UONGOZI wa Yanga, umemtaka Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almas Kasongo kuanza kuiweka sawa ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo wanadai...
SAMATTA KUMTIBULIA MOURINHO LEO
Leo Jumapili, mshambuliaji wa Aston Villa, Mbwana Samatta, anatarajiwa kusimama mbele kuwaongoza wenzake kumtibulia Kocha Jose Mourinho na timu yake ya Tottenham Hotspur.Aston Villa...
YANGA YAANIKA MIPANGO ITAKAYOTUMIA KUIMALIZA SIMBA MACHI 8
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa, mechi nne zijazo ambazo ni sawa na dakika 360, watazitumia kwa ajili ya maandalizi ya kuiangamiza...
WAWA AJA NA WAZO TOFAUTI KABISA JUU YA SIMBA KUTWA UBINGWA MSIMU HUU
LICHA ya kwamba Simba inaongoza ligi hivi sasa, lakini beki kisiki wa timu hiyo, Pascal Wawa, amesema ishu ya kuanza kuwaza ubingwa bado sana...
KUMBE CONTE ALIKUWA ANAITAKA SAINI YA LUKAKU KITAMBO KWELI
ANTONIO Conte, Kocha Mkuu wa timu ya Inter Milan inayoshiriki Seria A ya Italia amesema kuwa alikuwa anaitaka saini ya mshambuliaji wake Rumelu Lukaku...