YANGA WAFICHUA SIRI YA KUITWANGA LIPULI TAIFA
NAHODHA wa timu ya Yanga, Papy Tshishimbi amesema kuwa walipewa mbinu na Kocha Mkuu Luc Eymael za kuwabana Lipuli jambo lililowapa ushindi wa mabao...
KOCHA MANCHESTER UNITED: FERNANDES BADO HAJAFIKIA KUWA RONALDO
OLE Gunnars Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa kiungo wake Bruno Fernandes hawezi kufananishwa na Cristiano Ronaldo kama wengi wanavyosema badala yake...
SIMBA YAIPIGIA HESABU JKT TANZANIA KESHO, TAIFA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa timu itaendelea kupambana kwenye mechi zake zote za Ligi Kuu Bara ili kufikia malengo waliyojiwekea ya kutetea ubingwa msimu...
NAMUNGO: MOTO WA LIGI KUU BARA SI MCHEZO
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa Ligi Kuu Bara ina ushindani mkubwa jambo linalofanya kila mechi kwakwe kuwa ni zaidi ya fainali.Namungo...
MZUNGU WA YANGA ATOA SOMO HILI BONGO
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa Tanzania inahitaji ligi yenye ushindani ili kupata wachezaji bora watakaounda timu ya taifa imara.Akizungumza na Saleh...
MBEYA CITY: TUPO KWENYE KIPINDI KIGUMU KWA SASA,TUTATOKA
AMRI Said, Kocha Mkuu wa Mbeya City amesema kuwa timu yake inapitia kipindi kigumu kwa sasa kutokana na kushindwa kupenya mbele ya KMC kwenye...
MZUNGU WA SIMBA AMZUNGUMZIA MCHEZAJI WAKE AJIBU, HUU NDIO MTAZAMO WAKE
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa kiasi fulani ameanza kumuelewa mchezaji wake Ibrahim Ajibu.Ajibu alijiunga na Simba akitokea Yanga ambapo akiwa...
LIPULI YATAJA KILICHOWAKWAMISHWA KWA YANGA
PAUL Nonga, nahodha na mshambuliaji wa Lipuli FC amesema kuwa walizidiwa mbinu kipindi cha kwanza na Yanga jana, Februari 5 kwenye mchezo wa Ligi...
TIMU ZA MBEYA ZAMKAZIA MROMANIA WA AZAM FC
AZAM FC iliyo chini ya Arstica Cioaba raia wa Romania, imeshindwa kufurukuta mbele ya timu za Mbeya kwa kugawana pointi mojamoja kwenye mechi mbili...