KUMBE NAMUNGO INABEBWA NA HIKI HAPA BONGO
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa wachezaj wake wanacheza kwa juhudi wakiwa ndani ya Uwanja jambo ambalo linampa matokeo mazuri ndani...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO UWANJA WA TAIFA DHIDI YA POLISI TANZANIA
LEO Februari, 4 Simba itakuwa Uwanja wa Taifa saa 1:00 usiku kucheza na Polisi Tanzania mchezo wa Ligi Kuu Bara, kikosi chao hiki hapa.
REKODI ZA KOCHA MKUU WA AZAM CIOABA ZIPO NAMNA HII
HIZI hapa rekodi za Kocha Mkuu wa Azam FC, Arstica Cioaba ndani ya mwezi Januari
WATANZANIA WATWAA KOMBE LA KWANZA MBELE YA UD SONGO YA MSUMBIJI
MOSES Kitandu na Eliuter Mpepo wametwaa Kombe la Ngao ya Hisani kwa kuitungua UD Songo ya Msumbiji kwa penalti.Mpepo na Kitandu ambao ni raia...
MHILU, NYOTA WA KAGERA SUGAR ANAYEFIKIRIA KUUNJA UTAWALA WA KAGERE
IKWIRIRI yenye maskani yake Kibaha, mkoan Pwani ilikuwa timu yake ya kwanza kuanza kuichezea kwenye maisha yake ya soka na sasa amekuwa mchezaji anayekimbiza...
VINARA WA KADI ZA NJANO VPL HAWA HAPA, MBAO NDANDA WANA BALAA, KAGERE,MKUDE, ABDUL...
LIGI Kuu Tanzania Bara bado inazidi kukata mbunga ambapo kwa sasa mzunguko wa pili unakaribia kumeguka kabla ya mzunguko wa pili kuanza.Ndani ya mzunguko...
MZUNGU WA YANGA: TARATIBU WACHEZAJI WANAKUJA, WATAFANYA MAKUBWA
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa atawajenga wachezaji wake kuwa katika hali ya kujiamini kwa muda atakaokuwa nao mazoezini na ana imani...
MTIBWA SUGAR: LIGI YA MSIMU HUU NI BALAA
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa ushindani wa msimu huu ndani ya Ligi Kuu Bara ni mkubwa jambo ambalo linafanya kila...
SIMBA YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA POLISI TANZANIA LEO, TAIFA
SVEN Vanderbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kuzisaka pointi tatu leo mbele ya Polisi Tanzania.Simba itamenyana na Polisi Tanzania,...
AZAM FC SI YA MCHEZO, ILICHOFANYA JANUARI NI SHIDA TUPU
AZAM FC iliyo chini ya Kocha Mkuu Arstica Cioaba, mwezi Januari,2020 imeweka rekodi ya kucheza mechi tano bila kupoteza mchezo .Kwenye mechi tano ilizocheza...