MAMBO YAZIDI KUWA MOTO, KABWILI AHITAJIKA KAMATI MAALUM
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limeiagiza Kamati ya Maadili kufuatilia ukweli kuhusu tuhuma za upangaji wa matokeo zilizotolewa na kipa wa Yanga, Ramadhani Kabwili.Akizungumza...
SUALA LA IST YA KABWILI, KOCHA YANGA ATAJWA
Klabu ya Yanga imesema itamwita mchezaji wake, Ramadhani Kabwili kueleza kwa kina juu ya tuhuma za rushwa alizozitoa dhidi ya Simba hivi karibuni.Hayo yamesema...
SIMBA YAIGEUKA BODI YA LIGI
MBELGIJI Sven Vanderboeck ambaye ni kocha mkuu wa Simba, amelalamika kuwa wanatakiwa kujiandaa kwelikweli kutokana na ratiba yao kuwabana kwa sasa ambapo katika siku...
KAGERE AMALIZA SHUGHULI TAIFA, AACHA KILIO KWA NAMUNGO KWA BAO LAKE LA USIKU
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba leo amewanyanyua mashabiki wa timu yake kwa kufunga bao la ushindi lililoipa timu yake pointi tatu mbele ya Namungo...
VPL: SIMBA 0-0 NAMUNGO
Dakika ya 15 Namungo wanapiga kona ya kwanza Dakika ya 14 Kapombe anakosa nafasiDakika ya 13 Ajibu anapiga kona haizai matundaDakika ya 11 Namungo wanaoteaDakika...
YANGA YAMUITA KABWILI ISHU YA TOYOTA IST, YATAKA USHAHIDI
HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wamemuita mlinda mlango wao, Ramadhani Kabwili baada ya kuwatuhumu baadhi ya viongozi wa Simba kuwa walitaka...
JESHI LA NAMUNGO LEO DHIDI YA SIMBA, PAU BUKABA AANZIA BENCHI, BAROLA NDANI
KIKOSI cha Namungo, Kitakaochoanza leo dhidi ya Simba, Januari, 29, Uwanja wa Taifa
SIMBA YATAJA INACHOKITAKA KWA NAMUNGO LEO
JONAS Mkude, kiungo wa Simba ambaye amedumu kwa muda mrefu amesema kuwa leo ndani ya Uwanja wa Taifa wana kazi moja tu ya kutafuta...
STARTIMES IPO KWA AJILI YA JAMII, MATUKIO YAKE YA 2019 HAYA HAPA, TUZO PIA...
MWAKA 2019 umeshameguka na sasa tupo mwaka 2020, leo ni Januari,29. Haya hapa ni matukio ya StarTimes 2019:-Tangu kuingia katika soko la Afrika Mwaka...