ISHU YA KIUNGO MIQUISSONE NI NZITO KWA SIMBA, YAPIGA HODI FIFA
UONGOZI wa Simba kupitia Ukurasa wake wa Instagram umetoa taarifa kuhusu wachezaji wake wapya ambao imewasajili kwenye dirisha dogo.Simba iliwasajili viungo viwili ambao ni...
FA: SIMBA 0-0 MWADUI FC
Kipindi cha Kwanza: Simba 0-0 MwaduiUwanja wa UhuruKombe la Shirikisho hatua ya 32 BoraDakika ya 20 Dilunga anafanya jaribio ndani ya 18 akiwa na...
MORRISON, MASHINE MPYA YA YANGA YAZUNGUMZIA ISHU YA USHINDANI WA NAMBA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Bernard Morrison amesema kuwa kilichomtoa Ghana mpaka Bongo ni kazi tu jambo ambalo linamfanya afikirie kufanya vema muda wote.Morrison amesajiliwa...
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MWADUI, KAKOLANYA TENA, SALIM BENCHI
HIKI ndicho kikosi cha Simba kitakaochoanza leo Uwanja wa Uhuru, Januari 25 Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora.
KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MWADUI FC, MANULA NJE
Kikosi cha Simba dhidi ya Mwadui FC1-Beno Kakolanya2-Shomary Kapombe3-Mohamed Hussein4-Erasto Nyoni5-Pascal Wawa6-Jonas Mkude7-Hassan Dilunga8-Sharaf Shiboub9-Meddie Kagere10-Clatous Chama11-Francis KahataSUBs-Ally Salim-Gadiel Michael-Tairone Santos-Gerson Fraga-Rashid Juma-Ibrahim Ajibu-John...
MASHABIKI WAOMBWA KUIPA SAPOTI LIPULI, LIGI NI MOTO
PAUL Nonga nahodha wa Lipuli amesema kuwa ligi ya msimu huu wa 2019/20 ni ngumu jambo linalowafanya wapambane wakiwa ndani ya uwanja kupata matokeo.Lipuli...
NYOTA WA KMC AFICHUA KILICHO NYUMA YA MAFANIKIO YA KUTEMBEZA MABAO 5-0 MBELE YA...
CHARLSE Ilanfya, mshambuliaji wa KMC amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kurejea Uwanjani kutokana na kusmbuliwa na majeraha kwa muda mrefu,Ilanfya alijiunga na KMC kwenye...
MBELGIJI WA YANGA AWAPA KAZI NYINGINE WACHEZAJI WAKE
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa washambuliaji wake wote wana kazi moja tu uwanjani kufunga na kutengeneza nafasi za mabao ili kuongeza...
MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED WANA JAMBO LAO FEBRUARI MOSI
MASHABIKI wa timu ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu England wamepanga kutumia dakika 58 kufanya matembezi kwa pamoja nje ya Uwanja wa Old Trafford...
SIMBA YATAJA SABABU YA KUIFUNGA MWADUI FC LEO
HAJI Manara Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa sababu kubwa ya Simba kushinda mchezo huo ni kuongeza nguvu kwenye mradi wao wa kuingiza mashabiki...