SAKATA LA PRINCE DUBE NA AZAM LINAVYOTAKA KULETA AIBU KWENYE SOKA LA BONGO…
Kuna vitu vinakera sana. Kuna vitu vinakwaza mno Unajiuliza mpaka sasa katika dunia ya leo bado tunaishi katika zama za kale.
Ni kama hili tukio...
BAADA YA KUITUNGUA SIMBA JANA…AZIZ KI KAIBUKA NA HILI JIPYA KWA ‘KIGOGO’ WA SERIKALI…
Kiungo wa Yanga SC, Stephanie Aziz Ki, amesema ana furahi kuona ile ahadi yake ya kufunga bao katika Kariakoo Dabi, ameitimiza.
Aziz Ki alimuahidi Mjumbe...
YANGA WAZIDI KUIPASUA SIMBA KIMATAIFA….TAKWIMU ZA TIMU TAJIRI AFRIKA HIZI HAPA…
Kwa mujibu wa African Facts Zone, Klabu ya Yanga ni klabu namba saba kwa kuwa na bajeti kubwa ya mwaka Barani Afrika wakitumia takribani...
SHAFFIH DAUDA:- SIMBA WAMEKUBALI HAWANA TIMU BORA MSIMU HUU….
Timu ya Yanga imeendeleza ubabe dhidi ya Simba msimu huu baada ya kuitandika mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu uliopigwa jana Aprili 20,...
PAMOJA NA KUFUNGWA JANA….UGONJWA WA SIMBA UKO PALE PALE…..
Timu ya Yanga jana imeendeleza ubabe dhidi ya Simba msimu huu baada ya kuitandika mabao 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu uliopigwa Uwanja wa...
ALLY KAMWE:- TUNA OFA KWA AZIZI KI KUTOKA AFRIKA KUSINI, MOROCCO NA MISRI….
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe amesema mpaka sasa klabu hiyo imeshapokea ofa za wachezaji watano kutakiwa na klabu mbalimbali za barani...
TETESI:- JOBE, FREDDY KUPEWA ‘THANK YOU’ SIMBA…MASTAA WENGINE HAWA HAPA…
Washambuliaji wa Simba Sc, Pa Omar Jobe na Freddy Koubalan huenda huu ndiyo ukawa msimu wao wa kwanza na wa mwisho kuonekana katika Ligi...
USHINDI WA ODDS ZA LEO UKO KWENYE MECHI HIZI ZA UHAKIKA….
Jumapili ya leo ndani ya Meridianbet kuna ODDS KUBWA kuanzia ligi ya hapa nyumbani mpaka kule Ulaya, hivyo unachotakiwa kufanya wewe ni kusuka mkeka...
PAMOJA NA KUWATUNGUA SIMBA JANA….GAMONDI KAIBUKA NA HILI KWA YANGA….
LICHA ya kuchora ramani nzuri ya kutwaa taji la ubingwa kwa msimu mwingine, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameendelea kusisitiza kuwa wanahitaji kupambana...
KARIAKOO DABI YAWAPA SAPRAIZI HII GAMONDI NA BENCHIKHA…WABAKI MIDOMO WAZI
Unaweza kusema ni kama makocha wa timu zote mbili, Miguel Gamondi wa Yanga na Abdelhak Benchikha wa Simba wamekutana na sapraizi, baada ya kulazimika...