JESHI LA SIMBA LILILOKWEA PIPA KUELEKEA MSUMBIJI LEO HILI HAPA
KIKOSI cha Simba kilichokwea pipa leo kuwafuata wapinzani wao UD do Songo nchini Msumbiji leo mchezo utakaochezwa kesho Msumbiji hiki hapa:-Beno KakolanyaGadiel MichaelShomari KapombeErasto...
TATIZO LA YANGA KIMATAIFA LIPO HAPA, WAPANIA KUWAPOTEZA TOWNSHIP ROLLERS KESHO
BAADA ya Jana Yanga kukamilisha ratiba ya michezo yake miwili visiwani Zanzibar leo wanatarajia kurejea Bongo.Kwenye kambi ndogo visiwani Zanzibar ilicheza mechi mbili ambazo...
ARSENAL YAMALIZANA NA MABEKI DAKIKA ZA USIKU, MENEJA AMPA TANO LUIZ
ARSENAL imekamilisha dili la kuzipata saini za mabeki wawili dakika za usiku kabla ya dirisha la usajili kwa timu za Premier League kupigwa pini. David...
IWOBI MAMBO SAFI EVERTON, AIKACHA ARSENAL MAZIMA
EVERTON imethibitisha kuinasa saini ya mshambuliaji wa kikosi cha Arsenal, Alex Iwobi.Nyota huyo anayekipiga timu ya Taifa ya Nigeria amesaini kandarasi ya miaka mitano.Iwobi...
TOWNSHIP ROLLERS WATUA NA MAJI YAO DAR KUCHEZA NA YANGA TAIFA – VIDEO
KUEPUKA kufanyiwa hujuma na wapinzani wao Yanga, kikosi cha Township Rollers, jana kilitua jijini Dar es Salaam kikiwa na vinywaji vyao ikiwemo maji na...
BEKI TANZANITE AWEKA REKODI TAMU, KILA MECHI ANACHEKA NA NYAVU, ANA TUZO MOJA YA...
ENEKIA Kasonga,beki kisiki wa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' ameweka rekodi tamu kwenye michuano ya COSAFA inayoendelea nchini Afrika...
DUH KUMBE LUKAKU ALIKUWA UNITED MAWAZO YAKE JUMLA YAPO INTER MILAN
ROMELU Lukaku nyota mpya wa Inter Milan amewaambia mashabiki na viongozi wa timu yake ya zamani Manchester United kuwa wanastahili shukrani.Lukaku amekamilisha dili ya...
NYOTA MPYA WA YANGA, RAIA WA RWANDA SIBOMANA AAMUA KUFANYA KWELI, AMSHUSHA MKEWE DAR
PATRICK Sibomana, mshambuliaji mpya wa Yanga ameamua kufanya kweli kwenye mchezo wa kimataifa wa kesho dhidi ya Townshipp Rollers.Muda mfupi kabla ya kuwavaa wababe...
UONGOZI WA YANGA WAKOMELEA MSUMARI ISHU YA JUMA ABDUL, DANTE NA YONDAN
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa ni lazima madai ya wachezaji wanaoidai timu hiyo yafanyiwe kazi kabla ya kurejeshwa ndani ya kikosi hicho.Juma Abdul pamoja...
KMC SIO WA MCHEZOMCHEZO, WAMFUATA HARUNA NIYONZIMA WA SIMBA KIBABE
KIKOSI cha KMC, hakitaki kabisa utani kimataifa kwani jana kimewafuata wapinzani wao kibabe wakiwa wametupia mavazi matata.KMC inapeperusha Bendera ya Tanzania Kimataifa ambapo Agosti...