EYMAEL WA YANGA AMPA MAJUKUMU MAZITO MUIVORYCOAST

0
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amemtaka mshambuliaji wake Yikpe Gislein raia wa Ivory Coast kufunga mabao mengi.Eymael amemtaka nyota huyo aongeze juhudi baada...

HAWA HAPA WATAJWA KUWA KISIKI CHA MPINGO KWA LIVERPOOL EPL

0
MECHI ya Ligi Kuu England kati ya Norwich dhidi ya Liverpool inatajwa kuwa kikwazo kwa timu ya Liverpool ambayo haijapoteza mchezo hata mmoja msimu...

INTER MILAN WASEPA NA KIJIJI KIZIMA CHA ENGLAND

0
INTER Milan inayoshiriki Serie A, Ligi Kuu ya nchini Italia inaonekana kuchukua nyota wengi kutoka Premier League.Ndani ya msimu mmoja imewapa shavu nyota watano...

KOCHA SIMBA APEWA ONYO KALI NA BODI YA LIGI, POLISI TANZANIA WAVURUMISHWA FAINI

0
Baada ya vituko kufululizo, Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), imeonekana imepania kuweka sawa na kuhakikisha nidhamu inaboresha katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara.Kamati...

MANARA, NUGAZ, KOCHA YANGA WATAKUTANA “KIZIMBANI” KAMATI YA BODI YA LIGI

0
Baada ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kukutana katika kikao chake cha Februari  10, 2020....

MWAMUZI WA KONA YA MAAJABU YA YANGA AFUNGIWA NA BODI YA LIGI

0
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Februari  10, 2020 ilipitia mwenendo na...

WAANDISHI WAMPONZA AGGREY, APIGWA FAINI NA BODI YA LIGI

0
Ile tabia ya baadhi ya wachezaji na makocha kuwadharau waandishi wa habari kuhusiana na suala la mahojiano imemtokea puani nahodha wa Azam FC, Aggrey...