JUVENTUS, REAL MADRID WAPIGANA VIKUMBO KUINASA SAINI YA POGBA

0
REAL Madrid imeweka mezani pauni milioni 27.6 pamoja na nyota wao James Rodriguez ili kumpata kiungo wao Paul Pogba dili ambalo inaelezwa lilipigwa chini...

TANZANITE KUISHUSHIA KICHAPO ZAMBIA

0
BAKARI Shime Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' amesema kuwa leo waapambana kupata matokeo chanya mbele ya...

MWENDO WA KUUJAZA UWANJA WA TAIFA KWA SIMBA UNAENDELEA

0
TAYARI mashabiki wa timu ya Simba wameanza kuujaza uwanja wa Taifa muda huu kuelekea mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Power Dynamo.Leo ni...

RATIBA YA TANZANIA KUFUZU MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA KWA MATAIFA YA AFRIKA

0
RATIBA ya michezo ya awali kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Burundi itakayochezwa kati ya Septemba 2-9,2019 mchezo wa kwanza ukichezwa ugenini na mchezo...

WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MGENI RASMI LEO UWANJA WA TAIFA

0
SIMBA leo wanafika kilele cha SportPesa Simba Wiki ambapo uwanja wa Taifa kutachezwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba na Power Dynamo.Mgeni rasmi anatarajiwa...

KMC YAONYOOSHA MABAO 2-1 KARIOBANG SHARK

0
KIKOSI cha KMC leo kimeibuka kidedea kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya timu ya Kariobang Sharks uliochezwa uwanja wa Uhuru.Ofisa Habari wa...

SIMBA: TUTAKACHOFANYA SISI WAPINZANI WETU YANGA HAWAJAKIFANYA NA NI NOMA LEO

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa leo hakuna namna yoyote jambo la kwanza ni mashabiki kujaza uwanja kisha burudani zitafuata.Haji Manara Ofisa Habari wa Simba...

AZAM FC: TUNAFANYIA KAZI MAPUNGUFU YETU KWA MICHUANO YA KIMATAIFA

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kwa sasa unafanyia kazi mapungufu ya kikosi hicho kwa ajili ya mchezo wa kimataifa dhidi ya Kenema ya...

SIMBA YAWAITA MASHABIKI WAKE UWANJA WA TAIFA LEO

0
MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere amewataka mashabiki wa kikosi hicho wajitokeze kwa wingi leo uwanja wa Taifa kuipa sapoti timu hiyo itakapocheza mchezo wa...

MANCHESTER CITY: MSIMU UJAO KAZI ITAKUWA NGUMU ILA IMANI IPO

0
PEP Guardiola, Meneja wa Manchester City, amesema kuwa kwa sasa wameanza na mwanzo mzuri hasa baada ya kutwaa taji la ngao ya jamii.Manchester City...