ZAHERA ATOBOA SIRI YANGA
Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera ametaja siri tatu za kuwaondoa wapinzani wao, Township Rollers ya nchini Botswana kwa kuwafunga bao 1-0, juzi...
KOCHA SIMBA AJA KIVINGINE KABISA, ATAJA MALENGO TOFAUTI
Na George MgangaBaada ya kuondolewa jana katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amekuja kivingine.Aussems ameamua kuja na...
REKODI YA DAVID SILVA NDANI YA MANCHESTER CITY TAMU SANA
DAVID Silva, nyota wa Manchester City amecheza jumla ya mechi 400 tangu ajiunge na kikosi hicho msimu wa mwaka 2010. Anakuwa mchezaji wa 14 kufikia...
MWIGULU: NILIJUA YANGA WATAIFUNGA ROLLERS
Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba amefunguka kuwa wala hakuwa na presha wakati Yanga ilipokuwa ikikipiga dhidi ya Township Rollers kwa kuwa alijua mapema...
BALINYA AMWAGIWA NOTI ZA MAANA YANGA, MIFEDHA MINGINE KUTOLEWA
Straika wa Yanga, Juma Balinya, juzi alimwagiwa noti za maana na mashabiki wa timu hiyo wanaoishi Bostwana.Fedha hizo zilitokana na kufunga bao muhimu ambalo...
MWINYI ZAHERA AVURUGWA YANGA
Baada ya kufanya vema katika mechi iliyopita ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Township Rollers, inaelezwa Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera ameanza kupatwa...
UCHAWI WENU ULIWAKIMBIZA VODACOM, MKAWALILIA, WAMERUDI SASA TAFUTENI TIBA
Na Saleh AllyMSIMU mmoja bila ya kuwa na wadhamini wakuu imeonekana kuwakwaza kwa kiasi kikubwa wachezaji, viongozi wa soka na mashabiki wao.Lawama zimekuwa nyingi...
KUMBUKENI KILA MLICHOFANYA HAKITAZUIA NYIE KUPOTEZA MICHEZO
NA SALEH ALLYUKITAKA ujifunze mambo mengi, wakati mwingine ni vizuri sana kujiuliza maswali ya kutosha na kutafuta majibu sahihi ya kutosha kuhusiana na kile...
HIZI HAPA ZIMETINGA 16 BORA SPRITE B BALL KINGS
MASHINDANO ya Sprite B Ball Kings inazidi kupamba moto ambapo kwa sasa tayari timu 16 bora zimepatikana baada ya mchujo uliofanyika jana kwenye viwanja...