NYOTA MPYA SIMBA ATAJA KILICHOIPA UBINGWA MSIMU ULIOPITA

0
BEKI wa kikosi cha Simba Gadiel Michael amesema kuwa kikosi cha Simba kipo imara tangu msimu uliopita jambo lililoipa ubingwa.Gadiel kwa sasa yupo na...

AZAM FC V TP MAZEMBE JINO KWA JINO LEO

0
IDDY Naldo mshambuliaji wa Azam FC dk 28 anairejesha mchezoni timu yake baada ya kusawazisha bao 1-1 bao lililofungwa na Ipammy Giovany dk ya...

DOZI YA SIMBA AFRIKA KUSINI NI MOJA MARA MBILI

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa dhamira kubwa ya kuweka kambi nchini Afrika Kusini ni kujiweka sawa kwa ajili ya msimu mpya wa mwaka 2019-20...

HILI NDILO JESHI LA AZAM FC LINALOTOANA JASHO NA TP MAZEMBE LEO KAGAME

0
Kikosi rasmi cha Azam FC, kinachomenyana na TP Mazembe kwenye mchezo wa robo fainali ya Kombe la Kagame, Uwanja wa Nyamirambo leo Jumanne 16 Razak...

MTAMBO MPYA YANGA WATUA UWANJA WA NDEGE DAR

0
Mshambuliaji wa kimataifa wa Namibia Sadney Urikhob amewasili tayari Tanzania kwa ajili ya kujiunga na klabu ya Yanga.Urikhob ametua nchini na sasa ataelekea mjini...

EXCLUSIVE!! MZEE KILOMONI SI MDHAMINI TENA SIMBA SC, USHAHIDI HUU HAPA

0
Hizi ni barua zilizotoka kwa kabidhi Wasii Mkuu wa Serikali kwenda kwa wakili wa aliyekuwa mdhamini wetu, na pia barua ya Mahakama kwenda kwa...

CHALII WA ARUSHA ALIVYOBEBA MPUNGA WA SPORTPESA

0
Mkazi wa Arusha Bwana Revocatus M. Majura akikabidhiwa mfano wa hundi ya shilingi 10,317,378 baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 11 kati ya 13 kwenye...

HILO DAU LA LEROY SANE WA MANCHESTER CITY LAZIMA UKAE

0
UONGOZI wa timu ya Bayern Munich umethibitisha suala la kuitaka saini ya winga wa Manchester City, Leroy Sane.Mwenyekiti wa klabu hiyo, Kari Heinz Rummenigge...

CAF YAIRUHUSU SIMBA KUTINGA JEZI YA KIJIVU

0
UONGOZI wa Simba umesema kuwa msimu ujao Simba watatumia jezi ya rangi nyekundu nyumbani na rangi nyeupe ugenini huku wakitumia rangi ya kijivu pale...

DIDA; NINA OFA TANO MKONONI KWA SASA

0
 Deogratius Munish, mlinda mlango huru baada ya kuachana na Simba amesema kuwa ana ofa tano mkononi mwake kwa sasa.Dida hana timu na anatumia muda...