UBAGUZI DHIDI YA POGBA WAZUA HISIA KALI
MKUFUNZI wa timu ya soka upande wa akina dada nchini England, Phil Neville, amesema kuwa wachezaji wanapaswa kususia mitandao ya kijamii ili kutuma ujumbe...
NYONI AWEKWA KITIMOTO SIMBA
BAADA ya hivi karibuni mabeki wa kati wa Simba, Pascal Wawa na Erasto Nyoni kufanya makosa kadhaa katika mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi...
MAVUGO ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA ZAMBIA, AFUNGA MABAO 10
Straika wa zamani wa timu ya Simba, Laudit Mavugo, ametwaa tuzo ya ufungaji bora nchini Zambia.Mavugo ambaye anakipiga na Napsa Stars hivi sasa ya...
SHIBOUB AMPOTEZA OKWI
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba Mganda, Emmanuel Okwi ambaye amesajiliwa na klabu ya Al Ittihad ya Misri msimu huu hatashiriki michuano ya kimataifa akiwa na...
CLUB 361 INAKULETEA MAPAMBANO YA UBINGWA AFRIKA MASHARIKI NA KATI
#CLUB361MWENGE #JUMAMOSI Agosti 24, 2019Mapambano ya Ubingwa wa Afrika Mashariki na kati, kufanyika #JUMAMOSI Agosti 24, 2019 Club 361 Mwenge jijini Dar es Salaam...
SIMBA YAWATAKA MASHABIKI KUZIUNGA MKONO YANGA, KMC NA AZAM FC KIMATAIFA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa thamani ya mashabiki kwa klabu yao ni kubwa kuliko chochote kwani wao wanabeba siri ya mafanikio. Jumapili ya wiki...
MENEJA WA MACHESTER UNITED AMKINGIA KIFUA POGBA
MENEJA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskajaer amesema kuwa hakuna tatizo kwa kiungo wake Paul Pogba kushindwa kufunga penalti kwani ni sehemu ya mchezo.Manchester...
WEMA SASA KUPATA MTOTO
KAMA ni kiu ya kupata mtoto kwa sasa mwigizaji nyota wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu amefika kisimani; kinachosubiriwa ni kuteka maji na kuyanywa;...
ZAHERA ALIANZISHA HUKO YANGA, KAKOLANYA NAYE AGOMEA SIMBA, NI KESHO CHAMPIONI JUMATANO
KESHO ndani ya CHAMPIONI Jumatano kuna ishu ya mchezaji mmoja wa Yanga kufyekwa na Zahera, Kakolanya agomea ishu ya Simba, kuna bonge moja ya...
DUH! MATIZI YA AZAM FC NOMA
AZAM FC wamepania kufanya kweli kwenye mchezo wa kimataifa wa marudio dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia utakaochezwa Jumamosi Uwanja wa Chamazi.Azam FC wanaendelea...