MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO, BALINYA AOGELEA NOTI

0
Ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi leo Jumatatu

HIKI NDICHO KILICHO NYUMA YA USHINDI WA AZAM MBELE YA WAETHIOPIA, BAADA YA KICHAPO...

0
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa ushindi wao umebebwa na nguvu ya mashabiki ambao walijitokeza jana uwanja wa Chamazi.Azam FC jana ilipindua meza kibabe...

TAMKO LA HAJI MANARA BAADA YA SIMBA KUTUPWA NJE CAF

0
Kauli ya Ofisa Habari wa Simba Haji manara baada ya kuondolewa katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika leo na UD Songo.

SIMBA YAPIGWA KIDUDE KIMOJA CHA NYUMBANI, NJE KIMATAIFA KUISHABIKIA YANGA NA AZAM FC

0
RASMI leo Simba imetolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye mchezo wa marudio uliochezwa uwanja wa Taifa.Simba inatolewa na UD Songo kwa...

LIVE: SIMBA 0-1 UD do SONGO

0
MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa kwa sasa hatua ya awali ukiwa ni wa marudo uwanja wa Taifa ni kati ya Simba na UD do...

PUKKI; CHUI MPYA ATAKAYESUMBUA PORI LA PREMIER LEAGUE

0
Na Saleh AllyBAADA ya timu kuwa zimecheza mechi mbilimbili tu, tayari kuna mshambuliaji ameshafunga mabao manne, ukiwa ni wastani wa mabao mawili kila mechi.Wastani...

SIMBA: KAZI LEO NI NGUMU ILA TUPO TAYARI KUPENYA

0
PATRICK Aussems, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa mchezo wa leo utakuwa mgumu na kazi yao itakuwa moja kutafuta matokeo.Akizungumza muda mfupi kabla ya...

NAMNA DSTV WALIVYOFYEKA VIFURUSHI NA KUPUNGUZA BEI, SASA EPL NI MCHEKEA KINOMAAA

0
DStv yafyeka bei za vifurushi vyake!Wateja kuendelea kushuhudia burudani kabambe kwa bei ‘mtelezo’!Agosti 25 2019 – DStv Tanzania imethibitisha rasmi kupunguza kwa kiasi kikubwa...