DUH HAWA NDIO WABAYA WA YANGA LEO UWANJA WA TAIFA

0
 1959 ni mwaka ambao Township Rollers ilianzishwa nchini Botswana na leo itamenyana na Yanga uwanja wa Taifa majira ya saa 12:00Jumla ya mataji 15...

KAGERA ATOA NENO ZITO UKO SIMBA,ZAHERA ATOA NENO KWA TOWNSHIP ROLLERS

0
KESHO ndani ya CHAMPIONI Jumamosi kuna ishu ya Simba huko Msumbiji bila kusahau Yanga na mipango yao kimataifa, makala na chambuzi makini

YANGA SASA KULA SAHANI MOJA NA WABOTSWANA, WATUA BONGO KIBABE

0
YANGA leo imerejea kutoka visiwani Zanzibar ambapo waliweka kambi maalumu kujiandaa na mchezo wao wa kimataifa dhidi ya Township Rollers utakaochezwa kesho uwanja wa...

NJAA ALIYONAYO KAGERE, IINGIE KWENU ILI MPIGANIE MAFANIKIO

0
Na Saleh AllyWIKIENDI hii msimu mpya wa 2019/20, utaanza rasmi katika sehemu mbalimbali duniani. Tunaanza kuona mpira wa ushindani na kujifunza mengi wakati tukiburudika.Wakati...

CHONDE YANGA HAWA TOWNSHIP ROLLERS SI WATU WA KUBEZA HATA KIDOGO

0
NA SALEH ALLYKESHO Yanga watakuwa kazini kuwawakilisha Wanayanga na Watanzania katika mechi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Township Rollers kutoka nchini Botswana.Rollers si...

MAGUIRE, POGBA KUIVAA CHELSEA JUMAPILI

0
MANCHESTER United imethibitisha kuwa nyota wao mpya Harry Maguire na kiungo wao fundi, Paul Pogba wataanza kwenye mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu England...

MABINGWA SIMBA WAANZA KUWATISHA UD do SONGO, KUPIGA MAZOEZI YA MWISHO LEO

0
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba kwa sasa wameshatia timu nchini Msumbuji kwa ajili ya kufanya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa...

WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA WANYAKA MAFAILI YANGA WANA KAZI YA ZIADA KESHO

0
WAPINZANI wa Yanga kimataifa timu ya Township Rollers wameanza kuwasomea ramani wapinzani wao Yanga kabla ya kesho kwa kuiba mbinu zao kabla ya kukutana...

MAANDALIZI NDANI YA SINGIDA UNITED YAMEPAMBA MOTO

0
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa kwa sasa unaendelea na maandalizi ya nguvu kuelekea msimu ujao.Singida United imejichimbia Singida kwa sasa kwa maandalizi ya...

LIPULI YAPANIA KUFANYA MAAJABU MSIMU UJAO

0
UONGOZI wa Lipuli umesema kuwa msimu ujao umejipanga kufanya maajabu kwa kupata matokeo chanya.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Lipuli  Clement Sanga amesema...