YANGA WAANZA KUIWINDA TOWNSHIPP ROLLERS, LEO KUKINUKISHA DHIDI YA MLANDEGE
JESHI zima la Yanga kwa sasa lipo visiwani Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya kiamataifa ambapo Jumamosi watakuwa kazini kumenyana na Township...
ARSENAL YAHAHA KUMPAMBANIA LACAZZETTE
ALEXANDRE Lacazzette, mshambuliaji wa Arsenal kwa sasa anatibiwa majeraha yake aliyoyapata kwenye mchezo dhidi ya Lyon wikiendi iliyopita.Lacazzette hakuwa sehemu ya kikosi kilichoivaa Barcelona...
AZAM FC WAOMBA DUA KWA MASHABIKI, SASA WAPO ADIS ABABA
MABINGWA watetezi wa Jombe la Shitikisho Azam FC wamekwea pipa kuifuata Fasil Kenema ya Ethiopia.Azam FC itamenyana na Kenema Agosti 10 ukiwa ni mchezo...
SERIKALI YAJIVUNIA TIMU NNE KIMATAIFA
PAUL Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema kuwa kwa sasa Serikali inajivunia uwepo wa timu nne ambazo zinawakilisha nchi kwenye michuano...
JESHI ZIMA LA SIMBA KITAIFA NA KIMATAIFA HILI HAPA,MASHINE 28
Kikosi cha simba kilichotambulishwa kwa mashabiki jana uwanja wa Taifa mbele ya mashabiki waliofika kwenye Tamasha la SportPesa Simba Wiki.Rashid JumaAliy SalimYusuph MlipiliMzamiru YasinHamis...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA BETIKA, NAKALA YAKE NI BURE
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la BETIKA, nakala yake ni Bure
KOCHA TANZANITE: NGUVU ZETU SASA NI KWA AFRIKA KUSINI ILI KUTINGA FAINALI COSAFA
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Wanawake 'Tanzanite' amesema kuwa akili za timu pamoja na wachezaji ni kwenye mchezo wao wa...
KMC: MAZINGIRA YA RWANDA TUNAYAJUA HAKUNA KITAKACHOSHINDIKANA
UONGOZI wa KMC umesema kuwa kwa sasa maandalizi yanaendelea kwa kasi kuelekea kwenye mchezo wao wa kimataifa dhidi ya AS Kigali utakaochezwa nchini Rwanda.Akizungumza...
MABINGWA WA KOMBE LA FA AZAM FC KUWAFUATA LEO KIBABE WAETHIOPIA
LEO Jumatano saa 10 alfajiri kikosi cha Azam FC kinatarajia kuanza safari kuelekea nchini Ethiopia kwa ajili ya kuiwahi Fasil Kenema kwenye mchezo wa...
YANGA: TOWNSHIP ROLLERS TUNAWATAMBUA HAWATUTISHI, MASHABIKI WATUPE SAPOTI
DISMAS Ten, Kaimu Katibu wa Yanga amesema kuwa kikosi kinajichimbia visiwani Zanzibar ili kujiwinda na mchezo wao wa kwanza wa awali wa kimataifa dhidi...