KAGERE NOMAA. ASEPA NA MPIRA WAKE LEO TAIFA MBELE YA POWER DYNAMO

0
MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba, leo ameibuka shujaa kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Power Dynamo ya Zambia baada ya kupiga 'hat...

JESHI LA SIMBA AMBALO LIMEANZA LEO KWENYE MCHEZO WA KIRAFIKI WA KIMATAIFA DHIDI YA...

0
JESHI la Simba ambalo limeanza leo kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Power Dynamo Uwanja wa Taifa:-KakolanyaKandaZimbweKagereWawaChamaMzamiruKahataShiboubKapombeSantosWilker

LIVE: SIMBA 1-0 POWER DYNAMO

0
MEDIE Kagere anawanyanyua mashabiki wa Simba dakika ya 03 kwa kupachika bao la kwanza akiwa ndani ya 18 baada ya mlinda mlango wa Power...

DU! MASHABIKI WA SIMBA SASA HII SIFA, WAKOMBA TIKETI ZOTE ZA SPORTPESA SIMBA WIKI

0
MABINGWA watetezi wa Simbaba wamedhihirisha ubingwa wao leo na kuweka rekodi ya kujaza uwanja wa Taifa kwa kuuza tiketi zote za SportPesa Simba Wiki...

AZAM FC WAJANJA KINOMA WATANGALIZA MASHUSHU ETHIOPIA, KESHO KUKWEA PIPA KUIFUATA KENEMA

0
KIKOSI cha Azam FC, kinatarajia kuondoka nchini kuelekea Ethiopia, kesho Jumatano saa 10 alfajiri kwa ajili ya kuiwahi  Fasil Kenema kwenye mchezo wa raundi...

ABDI BANDA AANZA MAISHA MAPYA YA SOKA

0
ABDI Banda, nyota wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' baada ya kuitumikia Baroka FC kwa miaka miwili inaelezwa kwa sasa...

BIASHARA UNITED : TUMEJIPANGA KULETA USHINDANI MSIMU UJAO

0
KOCHA wa Biashara United, Amri Said amesema kuwa msimu ujao ushindani utakuwa mkali hivyo hawatafanya uzembe mwanzoni.Akizungumza na Saleh Jembe, Said amesema kuwa msimu...

NYOMI KAMA LOTE TAIFA SIMBA DAY, TIMU ZAWASILI, WALE WA BUKU TANO TIKETI ZIMEKATA

0
TIMU zote mbili Simba pamoja na Power Dynamo zimewasili uwanja wa Taifa kwa ajili ya kuhitimisha kilele cha SportPesa Simba Wiki. Mashabiki wengi wamejitokeza...

YANGA: KIKOSI CHA KAZI HIKI LAZIMA TUTUSUE MWANZO MWISHO

0
MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikosi chake kwa sasa kimetengamaa hivyo hana mashaka na ushindani wa msimu ujao pamoja na mechi...

JUVENTUS, REAL MADRID WAPIGANA VIKUMBO KUINASA SAINI YA POGBA

0
REAL Madrid imeweka mezani pauni milioni 27.6 pamoja na nyota wao James Rodriguez ili kumpata kiungo wao Paul Pogba dili ambalo inaelezwa lilipigwa chini...