YANGA YAFANYA USAJILI MWINGINE WA KUTISHA

0
Kiungo Mapinduzi Balama amesaini mkataba wa miaka mitatu kujiunga na klabu ya Yanga.Kiungo huyo amefikia makuabliano na Yanga  akitokea Alliance FC ya Mwanza.Usajili huo...

SAMATTA: TUKO FITI, SENEGAL ANAKUFA

0
HAINA kuremba kesho aisee, kwani Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta wamejipanga kuhakikisha wanashinda mechi yao ya kwanza mbele...

VEE MONEY: SIWEZI KUMZUIA MTU JUU YA JUX

0
AKIWA bado anaandamwa katika mitandao ya kijamii baada ya kudaiwa kuvunjika kwa uhusiano wake na msanii mwenzake, Juma Khalid ‘Jux’, staa wa Bongo Fleva,...

HOTEL YA KITALII YA SNOWCREST ARUSHA YADAIWA KUFILISIWA

0
HATIMAYE  hoteli ya kitalii ya Snowcrest,iliyopo eneo la Ngulelo jijini Arusha, imefilisiwa rasmi  baada ya kushindwa kujiendesha kutokana na madeni mbalimbali makubwa inayodaiwa na...

HAKIKA MAJOGOO WAMEAMUA, JURGEN KLOPP KUSHUSHA MASHINE NYINGINE KALI LIVERPOOL

0
Kocha wa liver, Jurgen Klopp amechimba mkwara kuwa timu yake itashusha mastaa wengine wa hatari ili kuimarisha timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao....

BONDIA ALIYEIABISHISHA TANZANIA KUCHUKULIWA HATUA – MWAKYEMBE

0
Watanzania wanajadili ni kipi cha kufanya juu ya mmoja wa wachezaji ndondi wake mashuhuri baada ya kukatiza mpambano nchini Australia katika raundi ya pili...

BAADA YA KUMCHANA HAJI MANARA, AFANDE SELE ATUMA TENA UJUMBE SIMBA – VIDEO

0
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva Afande Sele amesema timu za Simba na Yanga zinatakiwa kujitathimini kutokana na uwanja wa timu ya Gwambina ya wilayani...

SABABU ZA CHIRWA KUJIREJESHA AZAM ZAAINISHWA HADHARANI

0
OBREY Chirwa alitikisa kiberiti kwa kugoma kusaini mkataba mpya na Azam FC sasa mabosi hao juzi waliweka kwenye listi jina lake kati ya wachezaji...

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAMOSI, JUNI 22, 2019 HAYA HAPA

0
Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo JUNI 22, 2019. Ni yale ya Hardnews, Udaku na Michezo.Yasome...