RAIS WA SHIRIKISHO LA MISRI AMPIGA CHINI KOCHA MKUU KISHA NAYE ABWAGA MANYANGA
BAADA ya timu ya Taifa ya Misri kutolewa hatua ya 16 bora na timu ya Afrika Kusini kwa kufungwa bao 1-0 jana uwanja wa...
BREAKING: AMUNIKE APIGWA CHINI STARS, MBADALA WAKE AANZA KUSAKWA
Inaelezwa kuwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefikia makubaliano ya kuacha na Kocha Emmanuel Amunike aliyekuwa anainoa Taifa Stars.Hatua hiyo imekuja kufuatia kuboronga mechi...
WANYAMA AMKARIBISHA SAMATTA UINGEREZA
Kiungo wa Harambee Stars na Tottenham Hotspurs ya Uingereza, Victor Wanyama amemkaribisha rasmi nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta katika Ligi Kuu ya England...
MAZITO YAFICHUKA USAJILI WA AJIB SIMBA
Meneja wa Ibrahimu Ajib ambaye ni ndugu yake wa damu, Athuman Ajib amesema kuwa ilikuwa ngumu kumshauri Ajib kujiunga na TP Mazembe kutokana na...
KATUMBI ACHARUKA KUPANGA MATOKEO AFCON
RAIS wa TP Mazembe, Moise Katumbi ameruka tuhuma za gazeti moja la Madagascar kwamba alimhonga kipa wa Zimbabwe kwenye mechi ya Afcon kuwania kufuzu...
WACONGO WAMUONDOA ULIMWENGU KWA WAARABU
Imeeleza kuwa Klabu ya aS Vita ya Dr Congo imekomaa na mpango wake wa kutaka kumsajili mshambuliaji wa JS Saoura ya algeria, Thomas Ulimwengu...
MASHABIKI WA MISRI BADO HAWAAMINI, MBIO ZA SALAH ZAFIKA UKINGONI
MOHAMED Salah mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Misri anayekipiga timu ya Liverpool kwa sasa naye atakuwa ni mtazamaji wa michuano ya Afcon ambayo...
SIMBA KUKWEA PIA MPAKA SAUZI KUWEKA KAMBI
IMEELEZWA kuwa kambi ya timu ya Simba msimu huu itakuwa nchini Afrika Kusini kuanzia Julai 15.Mtendaji Mkuu wa Simba, Cresentius Magori amesema kuwa mpango...
MANCHESTER UNITED WAIWEKEA NGUMU INTER MILAN KWA LUKAKU
ROMELU Lukaku, staa wa Manchester United anawaniwa na klabu mbili kubwa ambazo zinahitaji kuipata saini yake kwa ajili ya msimu ujao.Juventus na Inter Milan...
RATIBA YA KAGAME LEO, MAKOCHA WOTE KUTUPA KETE YAO YA KWANZA LEO
LEO wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Kagame inayofanyika nchini Rwanda watakuwa kazini kupeperusha Bendera.KMC watakuwa wa kwanza kurusha kete yao leo majira ya...