BIASHARA UNITED KUANZA NA UONGOZI
UONGOZI wa Biashara United umesema kuwa kwa sasa unajipanga kufanya uchaguzi ili kupata viongzoi wapya ndani ya timu hiyo.Katibu wa Biashara United, Haji Mtete...
USAJILI: MRITHI WA GADIEL MICHAEL YANGA MARCELO ASAINI MIAKA MITATU
Mlinzi wa kushoto, Muharami Issa Said amejiunga na kikosi cha Yanga kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Malindi fc ya Zanzibar.
NYOTA MWINGINE YANGA ACHOMOLEWA MAZIMA
PIUS Buswita mshambuliaji wa zamani wa kikosi cha Yanga ambaye amepigwa chini kwa sasa amewekwa kwenye rada za timu ya Kagera Sugar na Polisi...
GADIEL MICHAEL: NASAINI SIMBA JUMLA
IMEELEZWA kuwa beki wa Yanga, Gadiel Michael amemalizana na Simba kwa kandarasi ya miaka miwili kwa ajili ya kukitumikia kikosi hicho msimu ujao.Michael alipishana...
BALINYA APEWA DAWA YA KUIMALIZA SIMBA HARAKA
Wakati uongozi wa Yanga ukiwa katika harakati zake za kukisuka upya kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao, mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Juma...
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
MISRI YATUPWA NJE AFCON KWA KUCHAPWA BAO 1-0 NA AFRIKA KUSINI, LORCH APELEKA MSIBA
Game ya AFCON hatua ya 16 bora imekwisha na wenyeji Misri wanatupwa nje ya mashindano kwa bao 1-0 huku Afrika Kusini wakisonga mbele kwenye...
MAGORI AFUNGUKA JUU YA SUALA LA MO KUJIONDOA SIMBA
BAADA ya kuzuka ghafla kwa taarifa kuwa ndani ya uongozi wa Klabu ya Simba hakuna maelewano huku ikidaiwa mwekezaji klabuni hapo, Mohammed Dewji ‘Mo’...
GADIEL MICHAEL AIBUA JINGINE LA KUSHANGAZA YANGA, SIMBA WATAJWA
Inadaiwa kuwa beki wa Yanga, Gadiel Michael juzi jioni amesaini rasmi mkataba wa miaka mitatu ya kuichezea Simba kwa ajili ya msimu ujao wa...