WABRAZIL SIMBA WAFICHWA
WAKATI usajili ukizidi kukolea ndani ya klabu ya Simba imebainika kuwa nyota wapya wa klabu hiyo Wabrazili tayari wamepelekwa kwenye hoteli ambayo Simba huweka...
WATANO WASAINI RASMI YANGA
Uongozi wa Yanga ulikuwa kwenye hatua ya kuwasainisha mikataba mipya nyota wake watano tayari kwa kuwatumia msimu ujao kwenye michuano mbalimbali. Timu hiyo inaanza...
JKT TANZANIA YAMALIZANA NA NYOTA WAKALI SITA FASTA
DANNY Lyanga amesaini kandarasi ya mwaka mmoja kujiunga na kikosi cha JKT Tanzania baada ya kuachwa na Azam FC na kukamilisha jumla ya wachezaji...
PSG WATAJA DAU LA KUIKOMOA BARCELONA
PARIS St. German (PSG) imewaambia Barcelona iwalipe mkwanja wa pauni milioni 197 sawa na sh.bilioni 573 ili wamwachie Neymar Jr.PSG ililipa kiasi hicho cha...
KUTOKA CAIRO, MSOME AMUNIKE HAPA KUHUSIANA NA MECHI YA KESHO DHIDI YA ALGERIA
Na Mwandishi Wetu, CairoKocha wa timu ya taifa Taifa Stars Emmanuel Amuneke, ana matumaini kuwa bado timu yake ina nafasi ya kufanya vizuri katika...
MANULA BOMU KWETU, HUKU WENYE MPIRA WAO WANAMUONA YUKO VIZURI
Na Saleh Ally, CairoKUNA kikundi cha wataalamu wa kutafuta wachezaji kwa ajili ya timu mbalimbali za ligi za Ulaya hasa kutokea katika nchi za...
BARUA YACHELEWESHA DILI LA MGHANA SIMBA
WAKATI mkataba wa nyota wa Simba, Nicholas Gyan raia wa Ghana ukikoma mwezi ujao, imethibitika kuwa beki huyo anasubiri barua tu ili aweke wazi...
KIUNGO MPYA YANGA ATIBU USAJILI
MAMBO ni moto Yanga! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya kiungo mpya wa Yanga, Abdulaziz Makame kutibua usajili wa klabu hiyo.Makame ambaye amejiunga na...