STRAIKA SIMBA ASAINI AFRIKA KUSINI
MSHAMBULIAJI wa Simba, Adam Salamba ametua rasmi katika kikosi cha TS Sporting ya Afrika Kusini ‘Sauz’ kwa mkopo wa mwaka mmoja.Salamba alisajiliwa na Simba...
OKWI AGOMEA MKATABA SIMBA
EMMANUEL Okwi amezidi kuwatia kiwewe Simba kwanza kutokana na kiwango anachokionyesha kwenye michuano ya Kombe la Afrika ‘Afcon’ kule Misri pili ni kuwa anazingua...
MTUPIAJI MWINGINE TENA ANASWA KMC
VITALIS Mayanga leo amejiunga na KMC kwa kandarasi ya mwaka mmoja akitokea klabu ya Ndanda. Mayanga akiwa ndani ya Ndanda msimu wa 2018/19 alitupia jumla...
SINGIDA UNITED YASAJILI MAJEMBE MAWILI
KLABU ya Singida United leo imeanza rasmi usajili wake kuelekea msimu ujao kwa kuwasajili majembe mawili. Beki wa kushoto, Salum Marcelo ambaye alikuwa akitumikia Malindi...
DIRISHA LA USAJILI BARA LAFUNGULIWA KWA CAF NA LIGI KUU, FAINI ZATAJWA
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kufunguliwa kwa Dirisha la usajili kwa Klabu za Ligi Kuu, Ligi Daraja la Kwanza na Ligi...
MANCHESTER UNITED WATAJA DAU LA POGBA
MANCHESTER United wamekubali kwa sasa mambo yaishe kwa kiungo ,Paul Pogba ambaye ameomba kusepa ndani ya kikosi hicho.United wamenyoosha mikono baada ya kuamua kutangaza...
HATMA YA AJIBU KUTUA SIMBA KUJULIKANA LEO
MENEJA wa Ibrahimu Ajibu, Athuman Ajibu amesema kuwa timu atakayojiunga mteja wake itajulikana.Ajibu alikuwa anatakiwa kujiunga na TP Mazembe dili hilo liliyeyuka kwa kile...
HATMA YA AJIBU KUJIUNGA NA SIMBA HII HAPA
MENEJA wa nyota wa Yanga, Ibrahim Ajibu, Athuman Ajibu amesema kuwa kwa sasa suala la timu atakayojiunga mteja wake Ajibu bado ni pasua kichwa...
NYOTA MPYA KMC AIYEE AKIWASHA
MSHAMBULIAJI mpya wa KMC, Salim Aiyee ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kuwa msimu ujao atatacheka na nyavu mpaka achoke.Aiyee akiwa Mwadui FC...
NYOTA WA SIMBA AMCHIMBA MKWARA MO SALAH
NYOTA wa timu ya Taifa ya Uganda na timu ya Simba, Juuko Murshid amesema kuwa yupo fiti kumenyana na Misri bila kuhofia uwepo wa...