MCHEZAJI COASTAL UNION ALIVYOWAFANYIA KITU MBAYA SIMBA

0
Jumamosi iliyopita kikosi cha Simba kilipambana na Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar...

FRAGA AWEKA AHADI NYINGINE SIMBA

0
KIUNGO mkabaji wa Simba, Mbrazili Gerson Fraga, ametamba kwamba ataendelea kufunga mabao kwenye ligi kila mara atakapokuwa akipata nafasi ya kuanza ndani ya kikosi...

KISA YANGA MZAMIRU HALI TETE SIMBA

0
KIUNGO wa Simba, Mzamiru Yassin, ataendelea kuzikosa mechi za timu hiyo, kutokana na kusumbuliwa na tatizo la goti analodaiwa kuumia katika mchezo wa Ligi...

VPL: SIMBA 1-1 POLISI TANZANIA

0
Simba 1-1 Polisi TanzaniaSabilo gool dk 22Bocco Goaal dk 56MPIRA kati ya Simba na Polisi Tanzania ya Moshi Uwanja wa Taifa ni kipindi cha...

NYOTA MPYA WA MANCHESTER UNITED APEWA MUDA WA MWEZI MMOJA NA KOCHA WAKE

0
QUIQUE Sanchez, aliyekuwa Kocha Mkuu wa nyota mpya wa Manchester United, Odion Ighalo amesema kuwa itamchukua muda wa mwezi mmoja mchezaji huyo kufikia mafanikio...

JOSE MOURINHO AANZA MIKWARA YAKE KWA NYOTA WAKE MPYA SASA

0
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Spurs amesema kuwa anaamini nyota wake mpya Steven Bergwijn ataonyesha makubwa mbele ndani ya timu yake.Raia huyo wa Netherlands...

KUMBE NAMUNGO INABEBWA NA HIKI HAPA BONGO

0
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa wachezaj wake wanacheza kwa juhudi wakiwa ndani ya Uwanja jambo ambalo linampa matokeo mazuri ndani...

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO UWANJA WA TAIFA DHIDI YA POLISI TANZANIA

0
LEO Februari, 4 Simba itakuwa Uwanja wa Taifa saa 1:00 usiku kucheza na Polisi Tanzania mchezo wa Ligi Kuu Bara, kikosi chao hiki hapa.

REKODI ZA KOCHA MKUU WA AZAM CIOABA ZIPO NAMNA HII

0
HIZI hapa rekodi za Kocha Mkuu wa Azam FC, Arstica Cioaba ndani ya mwezi Januari

WATANZANIA WATWAA KOMBE LA KWANZA MBELE YA UD SONGO YA MSUMBIJI

0
MOSES Kitandu na Eliuter Mpepo wametwaa Kombe la Ngao ya Hisani kwa kuitungua UD Songo ya Msumbiji kwa penalti.Mpepo na Kitandu ambao ni raia...