DUH MESSI CHAPA NYINGINE AMFUNIKA CR 7, NEYMAR KWA MKWANJA
LIONEL Messi mshambuliaji wa Barcelona inayoshiriki La Liga yeye anaongoza kwa kukunja mkwanja mrefu kuliko wengine wanaopiga soka kwa sasa.Kwa mwezi anakunja euro milioni...
WAFANYAKAZI WAPUNGUZIWA MSHAHARA KUMJAZIA CR 7
CRISTIANO Ronaldo nyota anayekipiga Juventus ambao ni mabingwa wa Serie A ni mmoja wa wachezaji wenye uwezo mkubwa kuwahi kutokea.Alikuwa ni mwanamichezo aliyekunja mkwanja...
LAURENT APANGA KUISHTAKI ARSENAL
LAURENT Koscienly anapanga kuuchukulia hatua za kisheria uongozi wa Arsenal kutokana na kupewa ofa ndogo ya mshahara.Koscienly aligoma kwenda kwenye kambi ya Arsenal nchini...
BREAKING NEWS: KILOMONI “NINJA” AACHIWA NA POLISI NA KUENDELEA NA MKUTANO WA WAANDISHI
Mwanachama maarufu wa Simba, Hamisi Kilomoni ameachiwa huru bada ya kukamatwa na jeshi la Polisi kutokana na kufanya mkutano bila ya kuwa na kibali.Mzee...
UNITED SASA WASHINDWE WENYEWE KWA KIUNGO WA KEIZER
MENEJA wa Sporting CP, Marcel Keizer amesema kuwa mchezaji wake Bruno Fernandez anaweza kujiunga na Manchester United.Kiungo huyo alikuwa kwenye rada za United kabla...
KUKAMATWA KWA MZEE KILOMONI KWAWA GUMZO…
Kukamatwa kwa mwanachama maarufu wa Simba, Hamisi Kilomoni kutokana na kufanya mkutano wa waandishi wa habari bila ya kuwa na kibali, imezua gumzo kubwa.Katika...
BREAKING: MZEE KILOMONI AKAMATWA WAKATI AKIFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI
POLISI wamezuia mkutano ambao ulipaswa ufanyike leo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa klabu ya Simba, Hamis Kilomoni.Mkutano huo ulipangwa kufanyika majira ya...
MAANDALIZI STARS YAPAMBA MOTO, AJIBU, MANULA, NYONI NDANI YA KIKOSI
KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Ettiene Ndayiragije amesema kuwa kazi kubwa iliyopo kwa sasa ni kujenga kikosi cha ushindani kitakacholeta...