LORI LAGONGA TRENI DODOMA, 29 WAJERUHIWA
Watu 29 wamejeruhiwa baada ya lori kugonga treni jijini Dodoma. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Protas Katambi, amesema leo asubuhi Jumanne Juni 18, 2019,...
BEKI KENYA AZUA GUMZO AFCON
MLINZI wa timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars), Joash Abong’o Onyango, amezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya picha yake kusambaa akiwa...
MANCHESTER UNITED WAMTAKA KIUNGO WA WESTHAM UNITED
MANCHESTER UNITED imewasiliana na uongozi wa West Ham United kuona namna gani wanaweza wakakamilisha dili la kumpata mchezaji Declan Rice.United wameonyesha uhitaji mkubwa wa...
YANGA YASIMAMISHA ZOEZI LA USAJILI
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hauna hesabu za kusajili wachezaji wengine wa kigeni baada ya kukamilisha asilimia 90 za wachezaji waliokuwa wanahitajika...
Mwinyi Haji anaelekea Kinondoni…
Beki wa kushoto wa klabu ya Yanga Mwinyi Hajji yupo katika rada za wana “Kino Boys” KMC ili kukiimarisha kikosi chao.Mwinyi Haji...
Wachezaji waliokamilisha usajili Ligi Kuu 2019/20
Tunaendelea kujaza wachezaji ambao wanajiunga/kuongeza mikataba katika vilabu vya Ligi Kuu kwa msimu wa Ligi Kuu 2019/20. Hii ni kwa mujibu wa taarifa tunazozipata...
BREAKING: BEKI MWILI JUMBA AMLIZANA NA SIMBA LEO MIAKA MIWILI
MCHEZAJI wa Singida United, Keneddy Juma ''mwili jumba' leo ametangazwa kujiunga na kikosi cha Simba kwa kandarasi ya miaka miwili.Juma anakuwa mchezaji wa pili...
ALLIANCE FC WAMCHUNIA MALALE HAMSINI
KOCHA wa Alliance FC, Malale Hamsini amesema kuwa tayari amemaliza mkataba wake ndani ya kikosi hicho hivyo kwa sasa yupo huru kujiunga na kikosi...
MAKOSA YA MSIMU ULIOPITA YAIPA SOMO SINGIDA UNITED
UONGOZI wa Singida United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Fred Minziro umesema kuwa makosa yaliyojitokeza msimu uliopita hayatatokea tena msimu mpya wa 2019/20.Akizungumza na...