WANNE WAPANDISHWA KIZIMBANI KWA KUCHAPISHA MAUDHUI HASI YOUTUBE

0
Serikali imewafikisha mahakamani watu wanne kujibu shtaka la kuchapisha maudhui katika mtandao wa YouTube bila kibali kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Washtakiwa hao...

MMOJA TEGEMEO YANGA ANASWA AZAM

0
INADAIWA beki kisiki wa Yanga, Andrew Vincent ‘Dante’ anawaniwa na mabingwa wa Kombe la Shirikisho (FA), Azam FC ambayo msimu ujao itashiriki Kombe la...

CRISTIANO RONALDO HANA MPANGO WA KUSTAAFU TIMU YA TAIFA

0
CRISTIANO Ronaldo mchezaji wa timu ya Taifa ya Ureno amesema kuwa bado ana imani ya kuitumikai timu yake ya Taifa kwa kubwa bado ana...

Kwa mujibu wa kanuni, Lipuli hawakustahili.

0
Kimsingi si Lipuli Fc ndio alitakiwa aende kushiriki michuano ya Kimataifa kwa msimu ujao kwa maana ya Kombe la shirikisho Africa na...

MANARA: YANGA NI WASHIRIKI VITI MAALUM CAF – VIDEO

0
Kauli ya Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kuhusiana na Yanga kupata nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.

ZAHERA ASHUSHA KOCHA MPYA YANGA

0
KATIKA kuliboresha benchi lao la ufundi, uongozi wa Yanga upo kwenye mazungumzo ya mwisho na Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime kwa ajili...

SIMBA YAIPELEKA YANGA MDOMONI MWA AL AHLY

0
KAMA zali tu vifaa vipya ambavyo vitavaa jezi za Yanga msimu ujao vina nafasi kubwa ya kukipiga dhidi ya timu za TP Mazembe na...

Yanga sio ‘viti maalumu’, lakini Simba…

0
Baada ya taarifa kutoka na kuonyesha kuwa sasa Tanzania itakuwa na timu nne katika mashindano ya CAF, tambwe nyingi zimeenea hadi kupelekea...

RAMADHAN KABWILI BADO HAKIJAELEWEKA YANGA, APATA DILI NJE

0
MLINDA mlango wa Yanga Ramadhani Kabwili amesema bado hawajafikia muafaka na mabosi wa timu moja nchini Sudan.Akizungumza na Championi Jumatano, Kabwili alisema; “Mkataba wangu...