WAKATI IKIELEZWA ANATANGAZWA SIMBA LEO, YANGA WAJA NA MPYA JUU YA AJIBU
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umethibitisha kuwa bado unamuhitaji kiungo wao mshambuliaji, Ibrahim Ajibu na kilichobakia ni yeye kuamua lini asaini mkataba wa kuendelea...
NAMUNGO KUSAJILI WACHEZAJI 20
KOCHA wa Namugo FC, Hitimana Thiery amesema kuwa watabaki na wachezaji 20 wa kikosi cha kwanza kwa kuheshimu mchango wao wa kuipambania timu.Akizungumza na...
RIPOTI YA KOCHA RUVU SHOOTING YATUA MEZANI
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa umepokea ripoti ya kocha wa Ruvu Shooting, Ablumutik Haji hivyo kwa sasa wanaifanyia kazi taratibu. Ofisa Habari wa...
AMUNIKE: TUTAFANYA MAAJABU MISRI
KOCHA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Emmanuel Ammunike amesema kuwa kwa sasa kikosi kipo sawa kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya...
LEO NDIO LEO, KUBWA KULIKO KUFANA, MOJA KWA MOJA AZAM TV
LEO Jumamosi, Juni 15, Kubwa Kuliko itazinduliwa rasmi ukumbi wa Diamond Jubilee, Upanga jijini Dar es Salaam na wanachama pamoja na viongozi wa Yanga...
POLOKWANE FC WAIKOMALIA SIMBA ISHU YA BOCCO
KAMA mipango ikienda sawa huenda nyota wa Simba, Adam Salamba akatua Afrika Kusini kukipiga klabu ya Polokwane FC.Dili hilo limekuja baada ya dili la...
AJIBU KUTANGAZWA SIMBA LEO
Kuna uwezekano mkubwa aliyekuwa mchezaji wa Yanga kwa msimu uliomalizika hivi karibuni, Ibrahim Ajibu akatangazwa kusajiliwa na Simba.Taarifa zinasema kuwa Ajibu tayari ameshamalizana na...
WATANO AMBAO TAYARI WAMESHAMWAGA WINO SIMBA KILICHOBAKI NI PICHA ZAO KUACHIWA
Baada ya aliyekuwa kipa wa Yanga, Beno Kakolanya kumwaga wino wa miaka miwili jana na wekundu wa Msimbazi, Simba SC, imeelezwa kuna wengine tayari...
STARS WAPEWA CHAPUO KUTUSUA AFCON
SAMUEL Etoo mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Cameroon,Barcelona, Chelsea na Inter Milan amesema kuwa Stars ina nafasi ya kufanya maajabu endapo...