AZAM FC HAO HATUA YA 16, WAICHAPA IHEFU MABAO 3-1
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Azam FC leo wamepenya hatua ya 32 bora na kuibukia hatua ya 16 bora kwenye michuano ya kombe...
MLINDA MLANGO WA YANGA ADAI ALIAHIDIWA IST NA SIMBA ILI ASICHEZE MECHI
RAMADHAN Kabwili, mlinda mlango namba tatu wa Yanga amesema kuwa kuna viongozi ambao amedai kuwa walikuwa ni wa Simba walimfuata na kutaka kumpa gari...
WAAMUZI WAFUATE SHERIA 17 ZA SOKA, MWENDO WA KUSUASUA UNAPOTEZA UBORA WA LIGI
MIONGONI mwa sababu ambazo zinachangia kwa kiasi kikubwa kulifanya soka letu lizidi kudidimia kila kuchao.Wiki kadhaa nyuma niliandika makala kuhusu baadhi ya waamuzi kuchezesha...
METODO: BODI YA LIGI SOGEZENI MACHO YENU LIGI DARAJA LA KWANZA
NA SALEH ALLYKAMA utakuwa hauifuatilii Ligi Daraja la Kwanza unaweza ukadhani mambo ni rahisi, lakini ni moja ya ligi ngumu sana.Utakuwa umeangalia mfano mzuri...
MWENDO MPYA KWA YANGA, LAZIMA EYMAEL AWEKEZE HUKU…
Na Saleh AllyMECHI mbili za mwanzo za Ligi Kuu Bara, zimekuwa mbaya kwa Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael.Alianza na kipigo cha mabao 3-0...
BEKI YANGA ATAKA KURUDI KMC, AGOMEA TIMU NYINGINE JUMLA
ALLY Ally, beki wa Yanga amesema kuwa yupo tayari kuibukia kwenye Klabu yake ya zamani KMC kwa mkopo na sio kwenda kwenye timu nyingine...
JESHI LA AZAM FC LILIOANZA LEO DHIDI YA FRIENDS RANGERS UWANJA WA UHURU
HILI hapa jeshi la Azam FC lililoanza leo dhidi ya Friend Rangers.
MTIBWA SUGAR: SAHARE SIO WATU WAZURI, WALITUKAMIA KINOMA
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa, timu ya Sahare Stars sio watu wazuri kwani walikaza mwanzo mwisho kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho...
MORRISON APIGWA ‘STOP’ YANGA, MBELGIJI AWAKA SABABU, ZATAJWA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa anashangazwa na mtindo wa nyota wake Bernad Morisson kuendelea mtindo wake wa kucheza na mpira 'Shibobo'...
BALAA LA YIKPE LAMUIBUA MBELGIJI WA YANGA
LUC Eymael, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa nyota wake, Yikpe Gnamien anaingia kwenye mfumo taratibu ni suala la muda kurejea kwenye ubora.Kwenye ushindi...












