KABLA YA JUNI 30 MRITHI WA NDAYIRAGIJE KUJULIKANA

0
UONGOZI wa KMC umesema kuwa kwa sasa unaendelea na mchakato wa kumtafuta Kocha Mkuu atakayebeba mikoba ya Etienne Ndayiragije aliyetimkia Azam FC.Akizungumza na Salehe Jembe,...

KALA JEREMIAH AJIANDAA KUVUTA JIKO

0
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Kala Jeremiah amesema kuwa kwa sasa anapambana kujitoa kwenye dhambi moja ya kuzini kwa kujipatia jiko lake hivi...

KOCHA YANGA AMLILIA HERITIER MAKAMBO

0
KOCHA wa zamani wa timu ya Yanga, Azam FC na Singida United Hans Pluijm amesema kuwa itachukua muda mrefu kwa mbadala wa mshambuliaji wa Heritier...

NYOTA HUYU SIMBA ATAJWA KUBEBA MIKOBA YA BOCCO KWENDA POLOKWANE

0
IMEELEZWA kuwa baada ya uongozi wa timu ya Polokwane FC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini kufeli kuipata saini ya nahodha wa Simba, John...

EXCLUSIVE: SIMBA YAMTANGAZA BENO KAKOLANYA

0
UONGOZI wa Simba leo umemtangaza aliyekuwa mlinda mlango wa Yanga Beno Kakolanya kujiunga na kikosi hicho msimu ujao kwa kumpa kandarasi ya miaka miwili....

SINGIDA UNITED YA MINZIRO YASAKA WACHEZAJI 10 KATI YA 500

0
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa wamejitokeza wachezaji zaidi ya 500 kwa ajili ya kufanya majaribio kwenye kikosi hicho ambalo lilianza Juni 12 litakamilika...

MATOLA WA LIPULI AIBUKIA POLISI TANZANIA, ASAINI MWAKA MMOJA

0
SELEMAN Matola amepewa kandarasi ya kuinoa timu ya Polisi Tanzania iliyopanda Daraja msimu huu kushiriki Ligi Kuu Bara.Matola ambaye alikuwa kocha wa Lipuli ametambulishwa...

KUMEKUCHA NAMUNGO, WAGOMEA WACHEZAJI WA MAJARIBIO

0
UONGOZI wa Namungo FC umesema kuwa kwa sasa haufikirii kusajili wachezaji wa majaribio na badala yake wanafanya kazi kubwa kusajili wachezaji wenye uwezo wa...

NYOTA WA BARCELONA AISHANGAA STARS, AIPA NAFASI YA KUFANYA MAAJABU AFCON

0
NYOTA wa zamani wa timu ya Barcelona, Chelsea, Inter Milan na timu ya Taifa ya Senegal, Samuel Etoo ameishangaa kuskia Tanzania inashiriki michuano ya...