MRITHI WA NDAYIRAGIJE NDANI YA KMC HUYU HAPA

0
IMEELEZWA kuwa kocha mpya wa KMC atakayerithi mikoba ya kocha Etiene Ndayiragije ambaye ametimkia Azam FC ni Jackson Mayanja.KMC kwa sasa wanatafuta Kocha Mkuu...

BAADA YA SIKU 23, OKWI KUKINUKISHA SIMBA

0
HUKO ulipo weka kumbukumbu kabisa kwamba itakapofika Julai 19, straika wa Simba, Emmanuel Okwi ndiyo itakuwa siku ambayo ataanika juu ya mustakabali wake ndani...

BALINYA AMTIKISA KAGERE BONGO

0
MSHAMBULIAJI mpya wa kikosi cha Yanga, Juma Balinya aliyesajiliwa na klabu hiyo kutoka Polisi ya Uganda, amefunguka kuwa moja ya malengo yake kwa msimu...

MNYARWANDA WA YANGA ATIMKIA ZAMBIA

0
KAMA Yanga hawatakaza uzi vizuri basi wapo mbioni kumkosa beki Mnyarwanda, Eric Rutanga ambaye wamekuwa wakimpigia hesabu kwa kiasi kikubwa kutokana na beki huyo...

Kiungo wa Simba amwaga wino Namungo fc

0
Kiungo mshambuliaji John Mbise amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili kutumikia Wana wa Ruhangwa ya Lindi baada ya kuipandisha Ligi Kuu.John Mbisse...

KOTEI MWENYEWE AFUNGUKA JUU YA KWENDA YANGA

0
Kiungo mkabaji ambaye mkataba wake umemalizika na klabu ya Simba, Mgahana, James Kotei amesema haelewi juu ya hatma yake ndani ya kikosi hicho kutokana...

MANARA AIBUKA NA KALI NYINGINE JUU YA TAIFA STARS – VIDEO

0
Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefunguka machache kuelekea mechi ya Taifa Stars dhidi ya Kenya Juni 27,  2019.