Yanga walivaa ovyo kwenye futari, Simba walifundisha kuvaa Yanga Jana.
Jana kulikuwa na utoaji tunzo wa klabu za Simba, kitu ambacho ni kikubwa na chenye kuigwa kwa vilabu vingine ndani ya nchi...
TANZIA: MJUMBE KAMATI YA UTENDAJI YANGA AFARIKI
TIMU ya Yanga pamoja na familia ya wanamichezo duniani imepata pigo kufuatia kifo cha mjumbe wa kamati ya Yanga Felix Kibodya.Kibodya amefariki usiku wa...
HAWA HAPA WALIOTWAA TUZO ZA MO
USIKU wa tuzo za MO zilizofanyika katika Ukumbi wa Hyatt Regency, ambapo muwekezaji wa Klabu ya Simba, Mo Dewji, ametoa tuzo kwa wachezaji wa...
SERGIO RAMOS AOMBA KUTIMKIA CHINA
SERGIO Ramos ambaye ni nahodha wa kikosi cha Real Madrid amecheza jumla ya michezo 606 akiwa ndani ya kikosi hicho tangu ajiunge kwenye kikosi...
MEDDIE KAGERE AFICHUA SIRI YA MAFANIKIO
NYOTA wa Simba, Meddie Kagere amesema kuwa kikubwa kinachompa mafanikio kwenye soka ni kujikubali yeye mwenyewe na kujipa changamoto yeye mwenyewe.Kagere ni mfungaji bora...
KAGERA SUGAR YAWAFUNGULIA MLANGO NYOTA WAO KUTIMKIA YANGA
UONGOZI wa Kagera Sugar itakayocheza Play off na Pamba, umesema kuwa hakuna tatizo kwa wachezaji wao kujiunga na vikosi vingine msimu ujao kwani maisha...
DAH! MWANA TAMBWE KUMBE AMEWEKWA KIPORO….
Huku Yanga ikimuweka kiporo mshambuliaji wake, Amissi Tambwe, nyota huyo amepata ofa moja kutoka nje ambayo hajaiweka wazi.Tambwe ni mmoja kati ya wachezaji wa...
BODI YA LIGI LAZIMA ITANGAZE ADHABU YA WALIOISHUSHA KAGERA SUGAR, LA SIVYO VIONGOZI WA...
OFISA MTENDAJI MKUU WA BODI YA LIGI, BONIFACE WAMBURANA SALEH ALLYWIKI hii imeisha, gumzo badala ya kuwa ubingwa wa Simba, mambo yaligeuka na kuwa...
MASHUJAA WA USWAHILINI; SAMATTA, KIBA, TUWAUNGE MKONO NIA YAO NJEMA YA KUIRUDISHIA JAMII
*Twendeni Taifa Juni 2 tukawaunge mkonoNa Saleh AllyVIJANA wawili wa Kitanzania, wameamua kukutana pamoja na kufanya kitu kwa ajili ya kurejesha katika jamii.Mbwana Samatta...
YANGA WATOA TAMKO JINGINE JUU YA NDEMLA NA MKUDE
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ametamka kuwa hana mpango na viungo wa Simba, Jonas mkude na Said Ndemla ingawa baadhi ya viongozi wanawatamani.Kauli...