TAIFA STARS AFCON, TUNAKICHEKA TUSICHOKIJUA LICHA YA KUWA CHA KWETU

0
Na Saleh Ally, CairoNILIPITA karibu na vyumba vya wachezaji wa Taifa Stars na kuwaona wengi wao wakiwa wamejiinamia na baadhi yao wakibubujikwa na machozi.Hili...

TUNDAMAN KUACHIA NGOMA SOON! “SIWEZI KUWATUNGIA WIMBO YANGA” – VIDEO

0
Msanii wa Bongo Fleva, Tundaman ambaye alikua golikipa wa Timu ya Bongo Fleva ambayo ilishuka dimbani kuminyana na Global FC nje kidogo ya Jijini...

TP MAZEMBE YAKUMBUSHIA DILI LA AJIBU

0
BAADA ya mawakala wa TP Mazembe kutua nchini Tanzania wiki hii kwa ajili ya kunasa baadhi ya saini za wachezaji mbalimbali, imebainika kuwa wameamua...

HATMA YA OKWI, JUUKO YATOLEWA SIMBA

0
WAKATI kukiwa na taarifa za nyota wengi wa Simba akiwemo Juuko Murshid na Emmanuel Okwi kutokuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu...

MWAMBUSI ARUDI MBEYA CITY, ASAINI MWAKA

0
KOCHA Juma Mwambusi amerejea nyumbani pale Mbeya City na kusaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuinoa timu hiyo msimu ujao.Mwambusi ndiye aliyeipandisha...

KOTEI AMUIBUA JULIO SIMBA

0
Baada ya iliyopita Jumatano kusambaa taarifa zinazomuhusu kiungo wa Simba, James Kotei kutimkia katika Klabu ya Kaizer Chief ya Afrika Kusini, aliyewahi kuwa kocha...

PIERRE AUBAMEYANG AIVURUGA ARSENAL

0
PIERRE Aubameyang mshambuliaji wa Arsenal amezua taharuki baada ya kusema kwamba yupo tayari kutua Manchester United msimu ujao.Aubameyang amekuwa akihusishwa kujiunga na United ili...

NYOTA NANE YANGA MGUU NJE MGUU NDANI, PANGA LA ZAHERA LINAWAHUSU

0
IMEELEZWA kuwa Yanga kwa sasa hawataki utani kwani wamedhamiria kujenga kikosi imara kitakachorejesha furaha Jangwani hali iliyofanya wasajili nyota wakali.Miongoni mwa nyota ambao wamesajiliwa...

BABU TALE: ALIKIBA HANA HELA YA KULIPA ‘BODIGADI’, ALIFANYA ‘SHOO’ CLUB NDOGO

0
Meneja wa Msanii Diamond Platnumz afunguka kuhusu wasanii wa WCB kuwa na walinzi na kusema anayepinga kuwa na walinzi hana pesa ya kuwalipa.

ISHU NZIMA YA USAJILI YANGA ILIPOFIKIA, MIPANGO KABAMBE YAANIKWA – VIDEO

0
Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Mwenyekiti wake Mshindo Msolla, umetoa siku nne kwa wale wote wanaotumia nembo ya klabu kujinufaisha. Akiongea mchana wa leo...